buyegiboseba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 535
- 145
To be Fair Lusinde alitakiwa kuhojiwa hata mwezi mzima,kwani alifika mahali pa kusema anataka wapigane na Slaa,Slaa kawapiga Mimba wanakwaya,hii mipolisi ilikuwa ndo kwanza inakenua meno kucheka,leo kijana kawapa ukweli wanamhoji six hours,simtetei Nasari lakini kama polisi wanataka kutuonyesha kuwa wanasimamia sheria zisivunjwe,Lusinde couldnt go untouched,totaly unfair