Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
Nasari aliwakilisha kile ambacho viongozi wa Chadema hukisema hasa wanapokuwa wenyewe tu. Kwa hiyo kile alichosema Nasari ni kile hasa Chadema wanaplan kwa nchi yetu nzuri Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
GRRRRRRRRRRRRRR!!! Wewe ni nani kutoa maelekezo kwa CDM. close your masaburi!! please. Ndiyo JK anaweza kuzuiwa na UMMA wa Atown au popote pale. Si wao ndio waajiri wake. Mnakaa kuanza kutoa woga na kulamba miguu ya waajiriwa wenu BUUREEE! Crazy! Ni wapi umesikia CCM wakiomba radhi kwa niaba ya watu kama LUSINDE aliyekunya kwa mdomo Arumeru!! Ni wapi umesikia CCM ikimkemea NAPE alipowaambia wafuasi wa CDM Mwanza wanashikishwa UKUTA!! Samahani nimetumia maneno kamili ili uelewe.Hakuna chembe ya mantiki hapo hata kidogo ndugu yangu! Amefanya kosa then analeta mzaha. CHE GUEVARA alikufa akiwa na miaka 38, ndani ya muda huo mfupi akawaadabisha mabepari wakubwa kama Marekani.
Kwanza ni kujidharirisha mwenyewe, anajifananisha na mtoto asiyejua jema na baya, hali lukuki ya wana-arumeru wana tumaini naye? Anataka waamini wamekosea kumchagua?
1. Akiri kuteleza ulimi, na kuomba radhi, ni jambo la kawaida sana, sisi kama watz tuko tayari kumsamehe, na ajipange upya, tuko nyuma yake.
2. Chadema itoe tamko la kulaani, na kutoa karipio kwa maneno hayo. Na sio kuishia kusema "hayo sio maneno ya chadema", kwani ametoa nani na wapi?
3. Asipokubaliana na yote hayo, basi chdma kama chama makini, kisisite kumuwajibisha. Lakini sitegemei kufikia huko!
Mungu wetu anaita?
Mbona LUSINDE wa CCM alitoa matusi waziwazi na mbele ya kundi kubwa la polisi na hawakumchukulia hatua yeyote hata ya kumwonya tu badala yake alipongezwa na Katibu mkuu wa CCM. Haiwezekani mtu moja afanye kosa hilo hilo au kosa linalofanana na hilo awe hana kosa la kuhojiwa na polisi ila kwa mwingine iwe kosa na polisi wapoteze muda wa masaa sita kuhoji. Nadhani polisi wanatakiwa sasa wabadilike na wasifanye kazi zao kwa shinikizo la kisiasaAmesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
tunataka mabadiliko, ni bora hata fisi kutawala, kuliko utawala wa ccm, mabadiliko ni muhimu ktk maisha ya binadamu na ktk mabadiliko hayo yanaweza kuwainua au kuwarudisha chini wananchi, hivyo haijalishi kwa lolote lile, sababu hiyo miaka 50 imeprove kurudisha maisha ya wananchi wengi chini, Huku wachache wakineemeka. People (walala hoi) are fed up.
Wale ni CUF!Na wale wa zanzibari
wanaotaka kujitenga vp?
Tena wanaendesha miha
dhara kila siku nao vp?
Kwa kweli kucheza na mjinga sio kazi kama polisi wameweza kutumia masaa sita kumhoji Nassari kweli hatuna jeshi la polisi bongo mana mambo kama haya ndo wanaweza kushadadia,Lusinde matusi ya nguoni alitukana wapi kama sio Arusha?au matusi sio uchochezi?mnaboa sana polisi wa bongo.:hat:
Mwanakijiji ameongea vema kuhusu kauli za baadhi ya viongozi wa Chadema akitolea mfano wa Lema kupoteza ubunge ni sababu ya kauli si vitendo. Hali kadhalika Slaa baadhi ya kesi ni lugha si vitendo. Kinachomsumbua leo Nasari ni lugha si vitendo. Nimeongea hili jana hapa jf lakini mdau mmoja alivyoniporomoshea matusi namsamehe kwa kuwa hajui kuwa najua hajui alitetealo.
Elimu ya usemaji ni muhimu sana katika majukwaa, si kupanda na kuropoka kikutokacho kichwani, licha ya kujiandaa namna gani uwepo jukwaani kama alivyotokea mbunge wa Tabora wakati wa Kampeni Igunga kupanda jukwaani na trigger. Profesa moja alituambia chuoni, kama huweze kuwa msetirivu katika mada yako na kushtukia unayumba kutoka nje ya mada jitahidi kuandika na uyasome uliyoyaandaa hadi utakakuwa mzoefu wa kudadafula dhamira inayokusudia bila kutoka nje ya dhamira.
Ni nadharia ya kawaida upandapo jukwaani utakuwa umejiandaa vya kutosha nini utaenda kuongea hadharani. Ni bora uandike na uanze kusoma tangu mwanzo mpaka mwishi kama unaona unashindwa kuzuia ulimi wako kuropoka kila kikutokacho kwani uliyojiandaa huwa umeshayachuja yapi yanafaa kwa watu utakaokutana nao badala ya kuongea tu kukujiacho uwapo jukwaani ndio matokeo yake mbunge anafikia hatua ya kumwekea mipaka Rais wa nchi asigusi ndani ya mipaka ya jimbo au ukanda wake, ni kitu kisichoingia akilini mwa wengi wenye upeo wa kuelewa nini dhamana ya viogozi wetu watarajiwa.
Uongozi bora haupimwi kwa usemaji mwingi jukwaani, bali busara hekima na maoni ya umoja kitaifa ndiyo kigezo cha kujenga nchi kwa amani na utulivu. Siasa inaweza kukugeukia upande mbaya mara moja kutokana na kosa moja tu hata kama umefanya mengi mazuri.
Kesi karibu zote zilizopo mahamakani ni za maneno ya uchochezi, hilo ni jambo ambalo Viongozi wa Chadema wanapaswa kuwa waangalifu sana. Viongozi wa Chadema wasidanganywe na uwingi wa watu kuona kwamba ndio kigezo cha kuongea watakavyo bila kupima nini kinatakiwa kuongelewa katika nafasi walizo nazo mikutanoni na kuonyesha umahiri wao wa kisiasa. Mvuto wa kisiasa ni uwezo wa kujenga hoja nzuri na kuzitetea na wala si kutukana au kusema kauli za kuashiria uchochezi.
Hilo la kugawa nchi ni sera ya Chadema Nassari katumwa tu kusema.
Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
GRRRRRRRRRRRRRR!!! Wewe ni nani kutoa maelekezo kwa CDM. close your masaburi!! please. Ndiyo JK anaweza kuzuiwa na UMMA wa Atown au popote pale. Si wao ndio waajiri wake. Mnakaa kuanza kutoa woga na kulamba miguu ya waajiriwa wenu BUUREEE! Crazy! Ni wapi umesikia CCM wakiomba radhi kwa niaba ya watu kama LUSINDE aliyekunya kwa mdomo Arumeru!! Ni wapi umesikia CCM ikimkemea NAPE alipowaambia wafuasi wa CDM Mwanza wanashikishwa UKUTA!! Samahani nimetumia maneno kamili ili uelewe.
Wengine JK (mwajiriwa wetu wote) akiguswa mnatepeta ovyooo!!!! Plain stupidity!!
Watu wetu wameuawa na wahuni wa ccm, na bado vitisho vinaendelea kutolewa dhidi ya wanachama wa chadema.
Hivi katika haya bado hatujaelewa kwanini Nassari amedhiriki kutamka?
Na kama watu wa kaskazini wataendelea kuuawa na ccm, watu wa kaskazini bila hata ya kuishirikisha chadema tutatoa tamko rasmi kuhusu watu wetu.
Watu wetu wameuawa na wahuni wa ccm, na bado vitisho vinaendelea kutolewa dhidi ya wanachama wa chadema.
Hivi katika haya bado hatujaelewa kwanini Nassari amedhiriki kutamka?
Na kama watu wa kaskazini wataendelea kuuawa na ccm, watu wa kaskazini bila hata ya kuishirikisha chadema tutatoa tamko rasmi kuhusu watu wetu.