Huenda hamkumuelewa Nassari kuhusu "udogo" wake. Amesema yeye ni mdogo, hajafafanua udogo katika umri, umbile au ushawishi. Kwa kauli ya kusema "basi hiyo nchi haipaswi kuwapo", mimi nimemuelewa kwamba alikuwa anazungumzia udogo wa ushawishi!Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Hakuna chembe ya mantiki hapo hata kidogo ndugu yangu! Amefanya kosa then analeta mzaha. CHE GUEVARA alikufa akiwa na miaka 38, ndani ya muda huo mfupi akawaadabisha mabepari wakubwa kama Marekani.
Kwanza ni kujidharirisha mwenyewe, anajifananisha na mtoto asiyejua jema na baya, hali lukuki ya wana-arumeru wana tumaini naye? Anataka waamini wamekosea kumchagua?
1. Akiri kuteleza ulimi, na kuomba radhi, ni jambo la kawaida sana, sisi kama watz tuko tayari kumsamehe, na ajipange upya, tuko nyuma yake.
2. Chadema itoe tamko la kulaani, na kutoa karipio kwa maneno hayo. Na sio kuishia kusema "hayo sio maneno ya chadema", kwani ametoa nani na wapi?
3. Asipokubaliana na yote hayo, basi chdma kama chama makini, kisisite kumuwajibisha. Lakini sitegemei kufikia huko!
Mungu wetu anaita?
Msemo wa mgema akisifiwa TEMBO hulitia maji, dalili zaonyesha CDM wamelewa misifa HIVYO wamefikia kuongea pasipo tafiti wala busara. Imefikia hatua viongozi kutoa matamko tofauti wakiwa majukwaani. Moja kwa moja UONGOZI WA KITIMU NDANI HIKI CHAMA HAUPO.
Imethibitika katika mkutano wa UNGA LTD, mbunge Nasari katoa tamko la UBAGUZI na kuthibitika hiki chama ni cha Kanda ya Kaskazini tu, wengine ni abiria.
Watanzania tutumie vichwa vyetu tufikiri kwa makini, CDM ni kwa ajili wa KANDA MOJA!!!!
Kuna matukio mengi yanayoonyesha CDM hawana utashi wa kuongoza TZ, kwani walianza kutoutaka muungano, na sasa wanataka kujitenga. tuwahurumie ndugu zetu toka kanda ya Ziwa, Kusini Nyanda za Juu waliovutwa na upepo wa msimu wa CDM pasipo kujua undani wa wamiliki wa CDM; ambao ni Mbowe & Mtei Co.
Najua wafuasi wa CDM toka kanda husika mtasema sana kwa vile nimewagundua ujanja unaotumia kutaka kutugawa watanzania kwa misingi ya ukanda.
Kumbe ni kweli Chadema mnataka kujitenga...
Mkuu Mungii, wewe ni mojawapo ya watu ninao waheshimu sana katika jukaa hili ila unaanza kunipa wasiwasi.
1. Kwamba hukubaliana na kauli ya 'Dogo Janja' na pia "pumba" za MMK nikujikanganya maana hoja ya msingi ya Mzee Mwanakijiji inapinga kauli ambayo unasema hukubaliana nayo.
2. Hizi tabia za kutenganisha chama na viongozi wake ni tabia za CCM, " chama ni kizuri ila viongozi ndo wabovu" na si Chadema. NASARI NI KIONGOZI NA KIONGOZI NI TASWIRA. Anabeba sura ya taasisi/watu anaowaogoza na Nasari anapaswa kuwa hivyo. Kujaribu kumtenganisha Nasari na Chadema unakosea
3. Kinachobishaniwa hapa si sababu zilizomplekea Nasari kusema aliyo yasema. Kinacho jadiliwa/bishaniwa nikwamba Nasari alikosa hekima kueleza alichokikusudia. Moja ya Sifa kuu za kiongozi ni kuwa na hekima/busara. Kwa lugha nyepesi uwezo wa kutambua kitu gani unapaswa kufanya/kusemea na kwa wakati gani. Wakati huo uwe wa furaha au huzuni, sherehe au majonzi. Maranyingi uwezo wa kiongozi unajidhihilisha katika kutatua matatizo kwenye complex situations.
4. Ni utamaduni humu janvini kwa wanajanvi hukubaliana na kupongeza ama kupinga hoja za wenzao. Katika kuonyesha kuikubali hoja wengine hutumia "LIKE" na wengine hueleza hisia zao kwa kuandika na umekuwa ukifanya ama kufanyiwa hivyo karibia kila siko. Nadhani hauko sahihi kumbwambia mwenzio anajikomba kwa Mwanakijiji.
5. Hii tabia ya kulinganisha uovu kwa uovu sio nzuri na bora tukaizika.
6. Ninaanza kupata hisia kuwa baadhi ya vijana wa kasikazini wamenasa kwenye mtego wa CCM. Mtego wa kutumia ukanda/ukabila kuigawa CDM. Kuweni makini makini tena makini. Siku mkianza kujiona zaidi wanaarusha kuliko wanachadema, huo ndo utakuwa mwanzo wa kudidimia kwa harakati hizi ambazo sote ni wadau.
MKUU MUNGI MIMI NA WEWE TU WAPENZI WA CHADEMA LAKINI USIPENDE KUWA MPENZI KIPOFU
mmetoa Beretta bungeni mmeingiza SMG - By mh. lema.
Ronald- stop barking on him, he is soso right! Watakaomshambulia hawajajua maana yake!
Si wanasema hicho Chama Ni cha wakrist Tena Wa kaskazini. Huo ndio msimamo basi wakawaabie wajitenge(najua haitawezekana)
Wala si nia ya Chadema!
Ikibidi hivyo na mimi nitajitoa.
My take.
Ujanja Wa Ccm ulipoishia ndipo smartness ya Chadema inaanzia.
Asante (Dogo janja)
Janja kwel kweli!
Ukiniona unanidai kinywaji!
Mfano?
Ronald- stop barking on him, he is soso right! Watakaomshambulia hawajajua maana yake!
Si wanasema hicho Chama Ni cha wakrist Tena Wa kaskazini. Huo ndio msimamo basi wakawaabie wajitenge(najua haitawezekana)
Wala si nia ya Chadema!
Ikibidi hivyo na mimi nitajitoa.
My take.
Ujanja Wa Ccm ulipoishia ndipo smartness ya Chadema inaanzia.
Asante (Dogo janja)
Janja kwel kweli!
Ukiniona unanidai kinywaji!
Nimeipenda sana hii Comrade umetoa elimu ya juu sana,nchi tushaiweka mikononi mwetu sasa taratiiibu kuelekea Ikulu cha msingi tusiache majeruhi wengi sana
Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr