Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Umesahau Mbowe alivyomsifia JK hadi JK akabaki mdomo wazi? Tena alitumia maneno ambayo yalitufanya tuwe wanyonge humu tukazodolewa kisawasawa na akina Ritz ....leo Nassari mnataka kumtoa roho kwa kusifiwa ...
 
Ujumbe umeusoma kamanda, mjenge Nassari aifanye kazi ya ubunge kwa nguvu zake zote. Usimkwaze, imeandikwa atakayemkwaza yoyote kati ya hawa, anafaa kufungiwa mwilini jiwe kubwa halafu atupwe baharini, usiwe mmoja wa wakwazaji, jitahidi uwe mmoja wa wasambazaji wa upendo.

Na ile ya Usiue, Mlipomuua Mwangosi na Mawazo Mliujua Upendo? Just take your vivid hypocrisy to hell don't give me that shit! Wezi wa Madaraka Mnajua upendo Leo, Mrudishieni Maalim Seif Ushindi wake ndio mje Mniambie mna Upendo, Rudisheni zile Laptop karibu 120 za Ukawa, Taasisi ya Haki za Binaadamu, Umoja wa Assasi za jamii, Mlizopora ili kufuta Ushahidi kuwa Lowassa aliwashinda! Ndio Mje Kuhubiri Upendo, Waleteni wale wajamaa Mukwere aliyewatuma Kumtesa Ulimboka Ndio Mnieleze habari za Upendo. Dude, just shut the hell up! Habari Ndio hiyo.

Wengine Mnisamehe huwa Wanafiki wananichefua aaah!
 
Kumbe hawa jamaa wa ukawa wana siasa za maji taka kiasi hiki
 
Mh. Nassari, mimi ni mkazi wa jimboni kwako kitongoji cha Nambala. Wewe ni mbunge wetu na unatuwakilisha sisi wanajimbo. Hawa akina Marandu, wazushi, wafitina ndo hawatutakii mazuri jimboni. Tulio wengi na tulio kupigia kura tunakufananisha na marehemu Filipokujombe, mwana ccm, lakini mpenda maendeleo ya watu wote. Achana na siasa zisizo na tija kama za akina Marandu. Hapa ni kazi tu, CDM mbele.
 
Kabla ya kumshambulia Nassary tuanze na waliomleta Lowassa maana ule unafiki niliuchukia kuliko nilivyochukia unafiki wa Zito.
 
Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani,
Kauli hizi tuziangalie sana..Alafu unamuhita ulie mtusi mwanangu,
Je kama huyo mwanao wewe itakuwa Mama nani?
 
Na ile ya Usiue, Mlipomuua Mwangosi na Mawazo Mliujua Upendo? Just take your vivid hypocrisy to hell don't give me that shit! Wezi wa Madaraka Mnajua upendo Leo, Mrudishieni Maalim Seif Ushindi wake ndio mje Mniambie mna Upendo, Rudisheni zile Laptop karibu 120 za Ukawa, Taasisi ya Haki za Binaadamu, Umoja wa Assasi za jamii, Mlizopora ili kufuta Ushahidi kuwa Lowassa aliwashinda! Ndio Mje Kuhubiri Upendo, Waleteni wale wajamaa Mukwere aliyewatuma Kumtesa Ulimboka Ndio Mnieleze habari za Upendo. Dude, just shut the hell up! Habari Ndio hiyo.

Wengine Mnisamehe huwa Wanafiki wananichefua aaah!
Mengi tuliopora yalitokana na idara nyeti za watu wa kazi, wanazo taarifa ambazo mimi na wewe tukiambiwa ni za kweli, tutasema ni uongo. Society yetu ina mambo mengi sana ambayo kwa sababu ukubwa ni jalala, yote hayo yanaelekezwa kwa mkubwa CCM. Maalim Seif, mimi na wewe hatumfahamu vizuri, tunamsikia na kumjadili kishabiki. Ninachokwambia sio hypocrisy, ni fact tupu, acha roho mbaya kwa bwana mdogo Nassari. Muache ang'are huu ndio wakati wake, don't scandalise that young fellow, let him shine.
 
Kabla ya kumshambulia Nassary tuanze na waliomleta Lowassa maana ule unafiki niliuchukia kuliko nilivyochukia unafiki wa Zito.
Utakufa na kijiba cha roho wakati wenzako cdm wanazidi kuchanua na kung'ara
 
Masikini Nasari... wameakuanzia na kwa walivyo na vijiroho vya hovyo watakusakama mpaka ufukuzwe kama Zitto.
 
Sishabikii mafisadi mimi. Kama kuna wanaochanua kwa kumpokea fisadi waendelee kuchanua.
Cdm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ccm ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Masikini Nasari... wameakuanzia na kwa walivyo na vijiroho vya hovyo watakusakama mpaka ufukuzwe kama Zitto.
Hiyo si ndio itakuwa furaha ya nyinyi wala viwavi?ila ujue hilo jimbo ni mali ya cdm maisha
 
Sishabikii mafisadi mimi. Kama kuna wanaochanua kwa kumpokea fisadi waendelee kuchanua.
Huyo mmawia ndio wale wale, ambao hawaoni wala hawasikii kwa sababu ya kumpenda mzee wa monduli. Ni kama shabiki anayempenda Messi badala ya kuipenda Barcelona. Wapo tayari kumfuata popote aendapo na kuishabikia timu atakayoichezea kwa sababu ya kumpenda yeye kwanza, yaani Messi.
 
Someni Kabla Hamjajibu, Mimi Joshua simjui Kiundani wala Sina Chuki naye, Nimetathmini yaliyotokea na Haivumiliki. Kama anajitambua alitakiwa Amponde Magufuli, Huwezi Kukubali Kutumiwa kama, "Condom" Kuwatukana wenzako waliokufikisha ulipo. Na Pia kwa yaliyokuwa yakiendelea Huko Dar es salaam na Kilombero, Joshua Nassari hakupaswa kukutana na Magufuli. Ingekuwa Halima Mdee Ni dada yake Nassari angeenda Kukutana na aliyemweka Rumande kwa sababu za Kishenzi? Sasa hilo ndio naona lilikuwa Kosa Kubwa na Ujinga wa Nassari.

aisee mkuu wewe una chuki na ni kimeo kabisa duh!
 
Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania


wengine wanakuita mme, wengine baba wengine mjomba

mkuu hauna akili kabisa na mtazamo wako na chuki zako ni kuwa umekurupuka mno

umejivua nguo

hawa wanasiasa ni marafiki kabisa usiwaze habari ya kupondana bungeni au majukwaani

leo nenda viunga vya hazina ukaone mbowe lissu na lema wanavyokaa na wabunge wa CCM na kupiga story kubishana na kutaniana life is just like that

so wewe ni aidha mshamba, mbumbumbu, umevamia jiji au haujui siasa wala wanasiasa

uliishawahi kuwaza kuna siku mbowe atamwambia Lowassa agombee kupitia chadema

wake up! tumia akili acha kujianika
 
Back
Top Bottom