Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania

mapovu mengi lakini bado hujaonyesha Nassari kakose wapi, sio kosa kwake kama mbunge kwenda kwenye Ziara au mkutano amabao Rais yupo,

Nassari ameonyesha Uzalendo kuwa kuna wakati inabidi uvyama ukae pembeni na kuuvaa uzalendo.
HEKO NASSAR KWA KUWEKA PEMBENI UNYUMBU NA KUAMUA KUWA MZALENDO,
 
mapovu mengi lakini bado hujaonyesha Nassari kkose wapi, sio kosa kwake kama mbunge kwenda kwenye Ziara au mkutano amabao Rais yupo,

Nassari ameonyesha Uzalendo kuwa kuna wakati inabidi uvyma ukae pembeni na kuuvaa ulando.
HEKO NASSAR KWA KUWEKA PEMBENI UNYUMBU NA KUAMUA KUWA MZALENDO,
Hizi akili za uhasama zinatupeleka wapi?, jamaa anaanza kumjengea fitina huyo mbunge kwa watu waliompigia kura. Anasahau kuwa wapiga kura wengine ndio hawa vijana wasioweza hata kujiuliza mara mbili, wao wanaanza kujenga chuki baada ya kulisoma andiko lake.
 
NDicho anachotaka ataona amefanikiwa! Shame!
 
Naona ViCCM Mmentetea Nassary Kama Nyie Ndio Mnampenda saana, Kama ati Nyie Ndio Wenye siasa za Ustaarabu, Sisi tunaomwabia amekosea Tuna Chuki!

Sasa, Mimi Nina Jeuri ya Tani Elfu Sabini Nikijua Niko Sahihi, Nimewasikia wote Kejeli zenu, Na Bado nasema tena

KISWAHILI:- Joshua Nassari Ulichofanya Ni Ukumbafu, Na Usaliti, Hukufikiri kabisa, Unatakiwa Uombe radhi kwa Wenzako wa UKAWA.

ENGLISH :- Joshua Nassari, What you Did was stupid, and betrayal to your fellows, it was thoughtless, you really need to apologize to the members of UKAWA

SPANISH :- Joshua Nassari , lo que hiciste fue estúpido , y la traición a sus compañeros , fue desconsiderada , que realmente necesita para pedir disculpas a los miembros de Ukawa

FRENCH:- Joshua Nassari , Qu'est-ce que tu as fait était stupide, et de trahison à vos camarades , il était irréfléchi , vous avez vraiment besoin de présenter des excuses aux membres du Ukawa

GERMAN:- Joshua Nassari , was du getan hast war dumm , und Verrat an Ihren Mitmenschen , war es gedankenlos, die Sie wirklich brauchen , um die Mitglieder von ukawa entschuldigen

ITALLIAN:- Joshua Nassari , Quello che hai fatto è stato stupido , e il tradimento ai vostri simili , è stato sconsiderato , si ha realmente bisogno di scusarsi con i membri di Ukawa

Hizo Lugha Nimechomekea tu Kama Magufuli anavyochomeka Vilugha vya Makabila, Nimeokoteza Kwa Kufanya Kondorasi za Umeme na Watu wa Mataifa Mbalimbali.

Ningejua Kimasai Ningekuambia Kwa Kimasai, Lakini Hicho Mwombe Magufuli asome pale kwa Kiswahili halafu akutafsirie Kimasai.
Na Kama Kuhusu Lugha Zingine Unaona Nazuga, Mwombe January Makamba akutafsirie Pale Pa Kiitaliano!
 
Kichagga sijakiona mkuu, wakati mwingine unakuwa na sense of humor, lakini bwana mdogo Joshua Nassari ni muungwana na ni mwanasiasa anayefanya siasa za kisomi na za kisasa. Haya majungu unayomuanzishia kupitia uzi huu, yatakurudia mwenyewe, historia ni mwalimu mzuri wa maisha.
 
Joshua Nassary hakupaswa kufurahia zile mbembwe za kijinga kutoka kwa MAGUFULI. Zilimfanya aonekane mwenye Rangi mbili!
 
Someni Kabla Hamjajibu, Mimi Joshua simjui Kiundani wala Sina Chuki naye, Nimetathmini yaliyotokea na Haivumiliki. Kama anajitambua alitakiwa Amponde Magufuli, Huwezi Kukubali Kutumiwa kama, "Condom" Kuwatukana wenzako waliokufikisha ulipo. Na Pia kwa yaliyokuwa yakiendelea Huko Dar es salaam na Kilombero, Joshua Nassari hakupaswa kukutana na Magufuli. Ingekuwa Halima Mdee Ni dada yake Nassari angeenda Kukutana na aliyemweka Rumande kwa sababu za Kishenzi? Sasa hilo ndio naona lilikuwa Kosa Kubwa na Ujinga wa Nassari.
Kuna wanachama...wapenzi..wafurukutwa...wafirigiswa..sijui wewe tukuweke kundi lipi?
 
Joshua Nassary hakupaswa kufurahia zile mbembwe za kijinga kutoka kwa MAGUFULI. Zilimfanya aonekane mwenye Rangi mbili!
Magufuli alishawahi kufagiliwa na Halima Mdee wakati akiwa waziri wa ujenzi, kwenye siasa hamuwezi kukwepana daima. Yapo matukio yatakayowaunganisheni. Nassari amepewa malezi tofauti na wengi wanavyo fikiri, labda kwa mujibu wa malezi hayo, haoni dhambi kutaniwa na rais wa nchi. Tunapokosea wananchi ni sehemu moja tu, kuwachukulia wanasiasa kama vile wao ni malaika, tunasahau kuwa na sisi pia tungeweza kuwa ni wale wale wanasiasa tunaowaongelea as if they don't belong to this world.
 
Mre
Sijui tatizo la Joshua ni lipi ,Raisi anapokua mkoa wowote ni kina nani wanaruhusiwa kumpokea ?? Barabara inayofunguliwa inapita pia na jimboni kwa Nasari ,shida iko wapi ?? Ni Magufuli huyu huyu alimwombea Mrema Augustino kura japo hakua mwana ccm ,kama lema na Nasari wana matatizo yao ufanywe utaratibu wa kuwapatanisha ndani ya chama ,vinginevyo watazua mgogoro usiokua na maana
Mrema sio mwana CCM? una uhakika?
 
Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania
Hivi nchi tuna wazee wa aina yako!!!
Wew ni janga kabsaaa, huu ni utani wa kisasa mkuu, hapa magufuli kamtania mtani wake Nasari na wala hajamaanisha, kumbuka akiwahudumia bungeni wakati akiwa wazuri waliwahi kamtania mbatia kuwa wew ni ccm.
Mkuu unashangaza sana, achana na jembe letu mkuu
 
Inamaanisha ni utani wa kisasa kama ambavyo waliwahi kamtania mbatia bungeni akiwa waziri
 
hana kosa hapo lazima ajichekeshe tu kuua sooo ! magu ni mtani tu hakuna uadui baada ya uchaguzi na nasari anataka jimbo lake liendelee na ni haki yake kuhudhuria mambo kama yale ili aweashahidi ili yakibuma ajibu kwa uhakika
 
Kichagga sijakiona mkuu, wakati mwingine unakuwa na sense of humor, lakini bwana mdogo Joshua Nassari ni muungwana na ni mwanasiasa anayefanya siasa za kisomi na za kisasa. Haya majungu unayomuanzishia kupitia uzi huu, yatakurudia mwenyewe, historia ni mwalimu mzuri wa maisha.

Kama Magu sio, Kada wangu? You are so funny! Wewe Kiwavi wa ccm kweli, Tangu lini iwe majungu kumshauri mtu kuomba radhi, Mimi siasa za Akili nimezifanya Joshua hajatambaa, Nenda Azania Ukaulize, Tumepiga Mijadala ya kuleta vyama Vingi Miaka ya 1990, Kamuulize Mbazigwa wa Mbazigwa na akina Tambalizeni, Kamuulize Mohamed Seif Khatibu ni Nani akiwa Mwenyekiti wa Muda wa Chipukizi Moshi 1988 alitoa speech Kidogo Mohamed Seif Khatibu aingie, "chini ya Meza kwa maneno yake mwenyewe". Hakuna siasa za Kisomi, ni Kinyume chake, Ni upumbavu kumuendose au kumpigatafu Zimwi huku bado akiwa na Mifupa ya ndugu zako aliyewala mkononi ikiwa bado inavuja damu. Nasema Tena Joshua Nassari anatakiwa Kuwaomba UKAWA Radhi, Don't waste your time, Mimi Nikiwa najua Nimekosea siogopi Kukubali, lakini Nikiwa Niko sahihi siwezi Kubadili Usemi hata Ungebadilisha Nyota Kuwa Peremende. Am sory to say this niazime maneno ya Trump, Wazungu Wamenipa Jina la utani Maratisa, 9X yaani Kijamaa Kijanja mara tisa zaidi ya Unavyodhani. Hii sio Bulldozer mwanangu Ni BM-21! Don't try me Sina chuki na Nassari Ningekuwa Nimemsema Selasini wa Kule Kwangu Rombo Ungesema Nataka Jimbo lake. Huyu Mtoto Namsaidia tu, Alikosea matiming mwanangu Nassari.
 
kama Magu sio, Kada wangu?
Ujumbe umeusoma kamanda, mjenge Nassari aifanye kazi ya ubunge kwa nguvu zake zote. Usimkwaze, imeandikwa atakayemkwaza yoyote kati ya hawa, anafaa kufungiwa mwilini jiwe kubwa halafu atupwe baharini, usiwe mmoja wa wakwazaji, jitahidi uwe mmoja wa wasambazaji wa upendo.
 
Back
Top Bottom