Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

hili la Umeya wa Dsm ndio linatuwekea giza vinginevyo huko kwenye tofauti ya vyama tulishatoka..........tunaangalia nguvu ya pamoja kuwaondolea kero wananchi. politiki nyepesi kama hizi tusaidiane kuziondoa ili tusonge mbele kuelekea kwenye maendeleo ya kiuchumi (Uchumi wa kati 2016-2025)
 
Hivi huoni aibu kuandika kwa Kiingereza kibovu namna hii. Si afadhali tu uandike kwa Kiswahili. Kwani utakosa nini?

Ni Kwa Kuwa Magufuli Ndiye alinifundisha Kiingereza!
 
Acha kujidhalilisha na kupoteza muda wako bure JF, jitume kufanya kazi kwa bidii, siasa zina wenyewe ndugu.

Mimi Hapa Nipo Kazini tena Hobby Kwa Kuwa Nina Mpunga wa Kutosha wewe Je Unaniambia cha Kufanya na wewe Utafanya Nini?
 
Mimi nadhani kuna tatizo la kufikiri kwa watu wengi wanaofuatilia siasa. Na ukitaka kujua shida ipo kichwani ni ushauri anaoutoa mtoa mada!! Eti Nassari hautakiwa kwenda pale na aombe radha. Mimi nashangaa kwa huu uwezo wa chini wa kufikiri. Na kudhibitisha hili naomba niulize maswali machache;
-Hivi ile shughuli ilikuwa ya ccm?(Maana umeshauri asingeenda)
-Kwani shughuli ile ilikuwa ya kitaifa au kimataifa?
-Hivi mlitegemea kusikia maghufuli apangiwe na Nassar cha kusema?
-Hivi Nassar anapaswa kujibu kila kitu kinachosemwa na mpinzani wake?

Magufuli alikuwa kwenye shughuli ya jumuia ya A. Mashariki siyo ya ccm na jimboni kwa Nassar na alizindua ujenzi wa Barbara inayopita jimbon katikati ya jimbo na Nassar n mdau hasa ukizingatia kuna mambo mengi ikiwemo fidia ya watakaobomolewa. Kusema asiende ni kumaanisha awasaliti wananchi wake.
Aliyosema JPM ni maoni yake bnafisi na mtazamo wake hasa kwasababu ye ye ni ccm na ni vijembe vakawaida ktk siasa. Tuache kufikiria kihafidhina.

Mtendaji mzuri huwa hanaga maneno mengi!! Nassari amefuta ccm Meru na ndiye Mbunge pekee wa kwanz ktk uchaguz kusimamia kura za urais zitangazwe kabla ya za kwake na kudhibiti wizi wa kura tofauti na maeneo mengine Meru haikuibiwa hata kura moja. Na kwa kutambua hilo Lema alimuomba Nassari ampe mawakala zaidi ya 200 kusimamia uchaguzi arusha mjini na Nassar alimpa vijana makini toka Meru.
Baada ya uchaguzi Nassar ni Mbunge pekee ambaye aliamua kutonunua gari jipya na kuchukua nusu ya mkopo huo kwenda kununua vitanda hospital ya Wilaya ya Meru.

Nataka watanzania muache porojo kwani Nassar tumemtuma sisi wanameru atutumikie na yeye kusifiwa na magufuli kwa kutanguliza Maendeleo mbele siasa baadaye ni sawa na ndio siasa makini. Wanameru hawahitaji msemaji na mtu wa maneno mingi tunataka mtendaji basi.

Still Kuonyesha Kuprotest wanachofanyiwa Ukawa Nassari Angetakiwa Kutohudhuria, Kwa wanachofanya CCM dhidi ya UKAWA wakati huu. Asingekuwepo Pale Magufuli asingepata Nafasi ya KUKASHIFU upinzani Kwa Kumtumia yeye. Kusingekuwa Na Upuuzi Unaoendelea wakati huu kutoka kwa CCM (Magufuli) Dhidi ya Ukawa, Nisingejali Kama Nassari au Mwingine yeyote angehudhuria Mkutano au shuhuli yoyote ya Magufuli, Kwani Magufuli ni Shetani? Mimi Najua siasa za Kimataifa, Hakuna Senator wa Republican, ageenda Kumpokea Obama kama Obama angewafanyia Chama chao Uhuni wanaowafanyia CCM UKAWA, Hakuna Mbunge wa Labor party angeenda kumpokea Waziri Mkuu wa conservative party iwapo angemfanyia mmoja wao CCM waliowafanyia UKAWA. Ubaya Nyie Siasa zenu ni za kwenye Mikeka, Mbona Kosa la Nassari lipo wazi sana.
Na Mimi Kwa Kuamini alifanya Ujinga Bila Kujua Ndio Maaana Sikusema, ajiuzulu au afukuzwe Uanachama. Nemesema Na naendelea kusema aombe Radhi, wenzake hasa akina Halima Mdee, Kwa Hilo Kufikiri Y'all will talk me down, Mnabeba maji kwenye gunia. Nikiwa Sahihi Sibadiliki msimamo Ndio sifa ya Kiongozi. Ila kama sina Uhakika Ukanionyesha Niko wrong nitakuangukia Miguuni na Kukubali Nimekosa in a heart beat!
 
Pumbavu kabisa. Hicho Kiingereza chako ni kibovu sana; tena sana. Kama una akili utafikiria ni vipi ujisahihishe kwa manufaa ya huko mbeleni. Haisaidii kuanza kuongea kama kichaa kutoka Mirembe.

Bye Huko Kwenye Matope Kaa wewe Nikija Utanishinda maana wewe na wenzako Ni veterans. Unafikiri naongea Kimakonde karibu miaka 20 USA Bye Msahihishe Mjamaa wenu Kwanza Kiingereza chake ndio uje kujaribu kwangu.

However I don't blame you at all, what else could you say since the best English to you is the one spoken by Magufuli. You made me feel like laughing my lungs out of my chest. Bye!
 
Wewe mbuzi hii lugha hauiwezi kabisa. Unataka kumtisha nani?

Sowa mkuu, Nini Kimekufanya uone Nimekutisha? insults come as the result of pain, Sindano imeingia maana usingetukana!

Ngoja Nikupe Maana yake Maana Hutakawia Kusema Nimesema nataka Joshus Nassari anichinjie Ng'ombe anipe nyama ya mapafu!

Kiswahili:- Umenifanya Kidogo Nitapike Mapafu kwa Kucheka
Spanish:- Se me hizo sentir ganas de reír mis pulmones de mi pecho
French:- Vous me faites envie de rire mes poumons sur ma poitrine
Italian :- Mi hai fatto sentire come ridere i miei polmoni fuori dal petto (sina Uhakika omba Tafsiri sahihi kwa J. Makamba)
Latin:- Tu me sentire sicut ridere pulmonis ex arca

Na kwa Kispanishi wewe, Kwa heshima Nikuite Kaka yangu!
 
Wivu na fitina at work

Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania
 
kisa magufuli kamsifia nasari, sasa nasari ni msaliti! .. ... Nasari usikubali kuwa nyumbu be independent thinker kama zitto even though kutakuwa na consequences kama vile kuitwa msaliti na kufukuzwa kwenye chama ..
 
If you are, then you should be the very first person to Understand me, Do you think if Obama a Democrat facilitate the arrest of let say Senator Richard Shelby the Republican for fictitious political shenanigans, The Next day Senator John Mc Cain will be palling around with Obama? if he does will it not be an endorsement of his actions. Don't you think this will be interpreted as a misguided effort to embolden or strengthen the oppressor's hand if you will? think about it.

Ushaambiwa SIASA SI UADUI ....

Angalia hii picha wanacheza mpaka Golf pamoja! lakini ni vyama tofauti..


12799208_10110266780426614_2515632123879856105_n.jpg
 
cjajua ulichopost ..ulitumwa au kwa sababu mimi nipo Arumeru .. Na kijana Nassar namwelewa vizuri...Na kama hujui siasa acha broo ..hizi siasa mnazojifubzia vijuweni bado sana ..jaribu kusoma pilitical principle ana theory ..utajua
 
Ushaambiwa SIASA SI UADUI ....

Angalia hii picha wanacheza mpaka Golf pamoja! lakini ni vyama tofauti..


12799208_10110266780426614_2515632123879856105_n.jpg
Hii Ilikuwa Ni Baada ya Clinton Kumtumia Donald Trump Polisi "Kumpiga Mabomu" au Ilikuwa ni Kwenye harusi? Nimeshasema Ingekuwa ni Katika Mazingira Mengine Nisingejali, Kwanini Umeenda Mbali huko, Kote, Najua haya ya Kushirikiana yapo hata Tanzania Lakini Kwa wakati sahihi. NOT NOW!



 
Haisaidii sana. Wewe bado ni zuzu tu.

Go'n get rid of the stuffs which some guys left in your unmentionable orifice! try to get a life and learn that am not your equal, asshole!
 
Clington?
Yes si unaona hata jina Nimekosea au Jina nalo ni lugha Yes Clinton, wewe Ni Bwege kweli kweli jina la Mtu Likikosiwa ni kutokujua lugha! Pimbi kweli ndugu yangu
 
Go'n get rid of the stuffs which some guys left in your unmentionable orifice! try to get a life and learn that am not your equal asshole!
Well, your mother also has an asshole. How is that?
 
Well, your mother also has an asshole. How is that?
Not anything as close as yours though, some guys from CCM, are spreading those rumors around, why? I don't have a single clue, you let us know!
 
Not anything close as yours though, some guys from CCM, are spreading those rumors around, why I don't have a single clue you let us know!
I don't know why you insist on writing in broken English.
 
Back
Top Bottom