Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Kuna member mmoja ali-comment mahali last year kwamba ,Nasari lazima ataundiwa zengwe na team Lowassa ili hilo jimbo alichukue Sioi Sumari next election"

Naona figisu zimeanza mapema sana!!

Hata hivyo Nasari na Prof J hawazimudu siasa za kianaharakati za CDM ambazo umahiri wako katika kujenga chama unapimwa kwa wewe kuhojiwa na polisi mara nyingi ama kulala mahabusu.
 
Siasa za ugomvi, siasa za kupigana na mamlaka ndizo wanazozipenda. Yale maneno ya mzee Mkapa pale Jangwani mwaka jana wakati wa kampeni, yaliwaudhi watu lakini message ilikuwa delivered.
 
Kwani Nasari alituma Magu amsifie?. Magu amesifu kile kilichompendeza yeye sidhani kama Nasari anapaswa kuomba radhi naona mkuu umeandika kwa hasira sana.
 
Mh. Nassari, mimi ni mkazi wa jimboni kwako kitongoji cha Nambala. Wewe ni mbunge wetu na unatuwakilisha sisi wanajimbo. Hawa akina Marandu, wazushi, wafitina ndo hawatutakii mazuri jimboni. Tulio wengi na tulio kupigia kura tunakufananisha na marehemu Filipokujombe, mwana ccm, lakini mpenda maendeleo ya watu wote. Achana na siasa zisizo na tija kama za akina Marandu. Hapa ni kazi tu, CDM mbele.

Ulimpigia Kura wewe CCM? Mwacheni apite bila Kupingwa 2020 Ndio Nijue Mnampenda Machozi ya Mamba nyie
 
Nassari anatakiwa aombe radhi kwa wenzake, he did something which could be ok, but was done at a wrong time, and very thoughtless. There is no need to be palling around with CCM leaders, regardless who does it, I would have said the same thing if the same thing was Done at this moment, by Mbowe, Lissu, Msigwa, Lowassa or whoever. It will be selfish and equally a betrayal to those who are being oppressed now. I am aware and I said it in the original presentation, am aware when Magufuli was still the Minister for Works and Infrastructure, he was once praised by Mbowe, Halima, Mnyika and many others. I for one Liked Magufuli a lot. But then nothing bad was going on, Neither Magufuli was in a position to send the Police to oppress members of opposition as it is Now.

Now I should say again, yes am very angry at these hypocrites, these bastards who are here pretending to praise Nassari, and I have spent a Moment to go through samples of them, they are all CCM. What makes you think that they are defending Nassari genuinely or because he facilitated himself to Magufuli as a puppet.

They Went as far as to say I was brought to UKAWA by Lowassa, None sense, I have said it a thousand times, Lowassa Don't Know me, I've never met him, I've never met with any CHADEMA leader, I got into Campaigning for UKAWA because I hated What CCM, was, is and will do to Tanzania. I said somewhere b4, that If Magufuli was Running out of CCM, I would have Supported him 10X over! I have no hate to nobody in particular. My Anger is due to the Fact that there is One part CCM, Which think that it has a Tittle deed over Tanzania and if not elected it use any means to grab power even by Fiat. That is what I hate! That is my anger.

Here is a video of me, to Prove it! This Video was taken in Late September 2015

NISEME TENA JOSHUA NASSARI ANATAKIWA AWAOMBE RADHI WENZAKE WA UKAWA.
 
Nassari anatakiwa aombe radhi
Punguza temperature au mihemuko Marandu kha!!

We ukisufiwa huwa unaomba radhi!?

Siasa sio uhadui, naanza kukubali juu ya mkwe wa Lowasa na vigisuvigusi anazopigwa Hero Nassari, mbunge kijana lakn mwenye kujua nini maana ya uongozi na kuongoza!

By the way we Marandu ni mrombo na Jushua ni Mumeru iyo pilipili ya Meru inakuwashia nini!?
 
sasa wewe unahorojoka nini? alichofanya nassari ni kwenda sawa na watu wake. watu wa arusha kwa sasa ni watu wa magufuli. nyie kaeni kalaka bao kama mtakuta kitu arusha 2020.
Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania
a
 
sasa wewe unahorojoka nini? alichofanya nassari ni kwenda sawa na watu wake. watu wa arusha kwa sasa ni watu wa magufuli. nyie kaeni kalaka bao kama mtakuta kitu arusha 2020.

a
Bora sasa Unafiki Umeweka Pembeni Unajitaja wazi Uko Upande gani, Mzee wangu Alinacha! ota tu
 
Punguza temperature au mihemuko Marandu kha!!

We ukisufiwa huwa unaomba radhi!?

Siasa sio uhadui, naanza kukubali juu ya mkwe wa Lowasa na vigisuvigusi anazopigwa Hero Nassari, mbunge kijana lakn mwenye kujua nini maana ya uongozi na kuongoza!

By the way we Marandu ni mrombo na Jushua ni Mumeru iyo pilipili ya Meru inakuwashia nini!?

Wewe Ndio hujui Siasa, Mbunge anawakilisha Jimbo Lake kwa Maswala ya Jimbo lao, Maswala ya Wananchi wake wanayoyataka kwa Taifa zima, Maana Wana Arumeru Pia wana maslahi ni Maswala ya Kitaifa. Na Zaidi sana asilimia Kubwa ya Wapiga Kura wake ni Wafuasi wa Chama Chake ambao, kwao mafanikio ya chama kwao ndio maslahi mapana zaidi kuliko yake.
Tumia Sayansi ya Uwongo wa CCM, Mwaminishe Nassari kuwa Wapiga Kura wa Chadema Arumeru wanafurahia saana Kina Halima na Kubenea na wengineo Kuwekwa Jela kisa Umeya wa Dar. Mwaminishe Nassari kuwa Magufuli Akiiba Umeya wa Dar akimpiga tafu basi Wana Arumeru watampa Tano. Dogo, Mwaminishe Kuna Mrombo analitaka jimbo lako 2020! Wanakuponza hao CCM Labda Omba Radhi!
 
We mleta mada acha UJUHA, Nassari ana akili kuliko wewe na ndiyo maana yupo bungeni na wewe hata uhakika wa mlo wa siku huna badala yake unashinda JF kupiga majungu.
 
Mimi nadhani kuna tatizo la kufikiri kwa watu wengi wanaofuatilia siasa. Na ukitaka kujua shida ipo kichwani ni ushauri anaoutoa mtoa mada!! Eti Nassari hautakiwa kwenda pale na aombe radha. Mimi nashangaa kwa huu uwezo wa chini wa kufikiri. Na kudhibitisha hili naomba niulize maswali machache;
-Hivi ile shughuli ilikuwa ya ccm?(Maana umeshauri asingeenda)
-Kwani shughuli ile ilikuwa ya kitaifa au kimataifa?
-Hivi mlitegemea kusikia maghufuli apangiwe na Nassar cha kusema?
-Hivi Nassar anapaswa kujibu kila kitu kinachosemwa na mpinzani wake?

Magufuli alikuwa kwenye shughuli ya jumuia ya A. Mashariki siyo ya ccm na jimboni kwa Nassar na alizindua ujenzi wa Barbara inayopita jimbon katikati ya jimbo na Nassar n mdau hasa ukizingatia kuna mambo mengi ikiwemo fidia ya watakaobomolewa. Kusema asiende ni kumaanisha awasaliti wananchi wake.
Aliyosema JPM ni maoni yake bnafisi na mtazamo wake hasa kwasababu ye ye ni ccm na ni vijembe vakawaida ktk siasa. Tuache kufikiria kihafidhina.

Mtendaji mzuri huwa hanaga maneno mengi!! Nassari amefuta ccm Meru na ndiye Mbunge pekee wa kwanz ktk uchaguz kusimamia kura za urais zitangazwe kabla ya za kwake na kudhibiti wizi wa kura tofauti na maeneo mengine Meru haikuibiwa hata kura moja. Na kwa kutambua hilo Lema alimuomba Nassari ampe mawakala zaidi ya 200 kusimamia uchaguzi arusha mjini na Nassar alimpa vijana makini toka Meru.
Baada ya uchaguzi Nassar ni Mbunge pekee ambaye aliamua kutonunua gari jipya na kuchukua nusu ya mkopo huo kwenda kununua vitanda hospital ya Wilaya ya Meru.

Nataka watanzania muache porojo kwani Nassar tumemtuma sisi wanameru atutumikie na yeye kusifiwa na magufuli kwa kutanguliza Maendeleo mbele siasa baadaye ni sawa na ndio siasa makini. Wanameru hawahitaji msemaji na mtu wa maneno mingi tunataka mtendaji basi.
 
Nassari anatakiwa aombe radhi kwa wenzake, he did something which would be ok, but was at a wrong time and very thoughtless. There is no need to be palling around with CCM leaders, regardless who does it, I would say the same thing if the same thing was Done at this moment, by Mbowe, Lissu, Msigwa, Lowassa or whoever. It will be selfish and equally betrayal to those who are being oppressed now. I am aware and I said it in the original presentation, am aware when Magufuli was still the Minister for Works and Infrastructure, he was once praised by Mbowe, Halima, Mnyika and many other. I for one Liked Magufuli a lot. But then nothing bad was going on, Neither Magufuli was in a possition to send the Police to oppress members of opposition as it is Now.

Now I should say again yes am very angry at these hypocrites, these bastards who are here pretending to praise Nassari, and I have spent a Moment to go through samples of them they are all CCM. What make you think they are defending Nassari genuinely or because he facilitate himself to Magufuli as a puppet.

They Went far as to say I was brought to UKAWA by Lowassa, None sense, I have said it a thousand times, Lowassa Don't Know me, I've never meet him, I've never meet with any CHADEMA leader, I got into Campaigning for UKAWA because I hated What CCM, was, is and will do to Tanzania. I said somewhere b4, that If Magufuli was Running out of CCM I would Support him 10X over! I have no hate to nobody in particular. My Anger is due to the Fact that there is One part CCM, Which think that it has a Tittle did over Tanzania and if not elected it use any means to grab power even by Fiat. That is what I hate! That is my anger.

Here is a video of me, to Prove it! This Video was taken in Late September 2015

NISEME TENA JOSHUA NASSARI ANATAKIWA AWAOMBE RADHI WENZAKE WA UKAWA.

If there is someone should think before!! it must be u!!!

If you are brain washed to this extent then I'm doubting you credibility!! Kwa uandishi huu unaoonesha kiwango cha juu cha chuki na jaziba ni dhairi kuwa huwezi Ku reasonable au critical. Nassara hana mihemko ya chuki kwako!! A wise man listen much and talk a little!! So I recognize Nassara as wiser of all messing up with this none sense!!!
 
Kuna mijitu iimezaliwa kkujaza dunia tu, umbea kwenda mbele
 
We mleta mada acha UJUHA, Nassari ana akili kuliko wewe na ndiyo maana yupo bungeni na wewe hata uhakika wa mlo wa siku huna badala yake unashinda JF kupiga majungu.

Oh yea, Naweza Kuwalisha wewe, familia yako yote na Nassari Mwenyewe maisha yenu yote. Mi nina ziwa binasfi la ekari 16 marekani na ardhi zaidi ya ekari 150, Nimeishi Marekani Miaka 16, Nimefanya Ukondorasi wa Umeme wa Viwandani, Ikiwa Ni pamoja na Taa za Barabarani, run way za airport, mitambo ya kusaga saruji, Mitambo ya kuchuja maji safi na Maji taka, Miradi ya Karibu dola $ 6M to 8M Kila mwezi, Am sory Kama Donald Trump, I should not say this, Nimejijenga Mwenyewe miaka 11 halafu kiroboto kama wewe uniambie ati Sijui ntakula Nini? Unajibu utumbo tuu. Nassari anatakiwa aombe radhi kwa wakati huu akuna sababu ya kuzurura na wapuuzi wa CCM. Kwa wanachofanya Dar, Kilombero, Zanzibar. Na Najua hasira zenu CCM, Mnaraha Mmempata mpumbavu wa kutumia sasa mi namshtua!
 
Nassari anatakiwa aombe radhi kwa wenzake, he did something which would be ok, but was at a wrong time and very thoughtless. There is no need to be palling around with CCM leaders, regardless who does it, I would say the same thing if the same thing was Done at this moment, by Mbowe, Lissu, Msigwa, Lowassa or whoever. It will be selfish and equally betrayal to those who are being oppressed now. I am aware and I said it in the original presentation, am aware when Magufuli was still the Minister for Works and Infrastructure, he was once praised by Mbowe, Halima, Mnyika and many other. I for one Liked Magufuli a lot. But then nothing bad was going on, Neither Magufuli was in a possition to send the Police to oppress members of opposition as it is Now.

Now I should say again yes am very angry at these hypocrites, these bastards who are here pretending to praise Nassari, and I have spent a Moment to go through samples of them they are all CCM. What make you think they are defending Nassari genuinely or because he facilitate himself to Magufuli as a puppet.

They Went far as to say I was brought to UKAWA by Lowassa, None sense, I have said it a thousand times, Lowassa Don't Know me, I've never meet him, I've never meet with any CHADEMA leader, I got into Campaigning for UKAWA because I hated What CCM, was, is and will do to Tanzania. I said somewhere b4, that If Magufuli was Running out of CCM I would Support him 10X over! I have no hate to nobody in particular. My Anger is due to the Fact that there is One part CCM, Which think that it has a Tittle did over Tanzania and if not elected it use any means to grab power even by Fiat. That is what I hate! That is my anger.

Here is a video of me, to Prove it! This Video was taken in Late September 2015

NISEME TENA JOSHUA NASSARI ANATAKIWA AWAOMBE RADHI WENZAKE WA UKAWA.
Hivi huoni aibu kuandika kwa Kiingereza kibovu namna hii. Si afadhali tu uandike kwa Kiswahili. Kwani utakosa nini?
 
Oh yea, Naweza Kuwalisha wewe, familia yako yote na Nassari Mwenyewe maisha yenu yote. Unajibu utumbo tuu. Nassari anatakiwa aombe radhi kwa wakati huu akuna sababu ya kuzurura na wapuuzi wa CCM. Kwa wanachofanya Dar, Kilombero, Zanzibar. Na Najua hasira zenu CCM, Mnaraha Mmempata mpumbavu wa kutumia sasa mi namshtua!
Vuvuzela wewe! Nassari aombe radhi anakula kwako?
 
Back
Top Bottom