Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,889
- 1,083
mpuuzi wewe...hii sio ACTFukuzeni msaliti huyo anataka kuwa kama Zitto Kabwe alivyokuwa anaambatana na Kikwete.
mpuuzi wewe...hii sio ACTFukuzeni msaliti huyo anataka kuwa kama Zitto Kabwe alivyokuwa anaambatana na Kikwete.
siasa sio uadui pia nasari wanamkubar sana amefanya na anazid kufanya mengNoted mimi natokea Meru ni muda tu haujafika he has to quit! No compromise na anayemzika mazima ni mkuu wa Wilaya huyu ametokea kuwa karibu sana na wana Meru kuliko hata mbunge na mkuu huyu wa wilaya ana tengeneza njia nyeupe kwa mgombea wa ccm atakayekuja. Nasari haonekani ibadani wala kwingineko. .....anyway mambo yake ni complicated sana. CDM bado tunaipenda SANA
Mimi si CCM... Nadhani wenye Chama wameshakusomaMuwe mnamshauri huyo Ngosha akiwa kwenye ziara kama Rais aache mipasho ya vyama. Shida naiona imeanza kwa kuingiza UCCM.
Jamaaa kachachamaa c mchezo watu wengine ni matatizoSiasa sio uadui mkuu
Hakuna Cha Kusoma, Kichwa Cha Hbr Tu Kinatoa Majawabu!!Umesoma tu Kichwa cha habari cha uzi, Usingejibu hivi!
Watamfukuza Siku Ambayo Ww Utakuwa Umeacha Uchoko, Maana Unaitia Aibu Familia Na Jamii Yako Aibu!!!Chadema Mnatakiwa mumufukuze Nasary kwanza anatumbua tu Pesa za jimbo
Umepaniki brazaNiliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?
Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.
Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.
Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.
Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.
Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania
Haitatokea dc kumfanya mbunge wa cdm akapoteza ubunge,dc ni vuvuzela tu la watawala na ujue kuwa wananchi wa tanzania wameamua kuichukia ccm jumla na ccm wataendelea kupoteza viti vya ubunge na udiwani kila mwaka wa uchaguzi,hakuna mtu yeyote awaye atakaye inusuru ccmNoted mimi natokea Meru ni muda tu haujafika he has to quit! No compromise na anayemzika mazima ni mkuu wa Wilaya huyu ametokea kuwa karibu sana na wana Meru kuliko hata mbunge na mkuu huyu wa wilaya ana tengeneza njia nyeupe kwa mgombea wa ccm atakayekuja. Nasari haonekani ibadani wala kwingineko. .....anyway mambo yake ni complicated sana. CDM bado tunaipenda SANA
Alipo upo wewe,watanzania tuna mambo mengi muhimu ya kujitafutia mkate wetu wa kila sikuUnataka tukusaidieje labda?
Go @Magufuli go, ulipo tupo.
Mkuu kama umeuelewa huyo mleta uzi,ana ajenda iliyo nyuma ya pazia huyo ni mwana lumumba, muelewe vemaSijui tatizo la Joshua ni lipi ,Raisi anapokua mkoa wowote ni kina nani wanaruhusiwa kumpokea ?? Barabara inayofunguliwa inapita pia na jimboni kwa Nasari ,shida iko wapi ?? Ni Magufuli huyu huyu alimwombea Mrema Augustino kura japo hakua mwana ccm ,kama lema na Nasari wana matatizo yao ufanywe utaratibu wa kuwapatanisha ndani ya chama ,vinginevyo watazua mgogoro usiokua na maana
Sasa hayo maendeleo yatakujaje bila kutendeana haki? Shida ya JPM na watu kama nyie ni kuwa na fikira mgando kuwa anayejua maana ya 'maendeleo' ni CCM tu! Lakini mtoa mada amedokeza vizuri kuwa CCM hiyo hiyo ndio imelikisha taifa kuota 'majipu' sugu ambayo huyo huyo anayetamba kuyatumbua anasifia CCM kuleta maendeleo. Anajikinzani mwenyewe. Ndiyo, Nassari alipaswa kufanya maamuzi ya busara, kugoma kuhudhuria hiyo sherehe hata kama ilikuwa inafanyika jimboni mwake kama ishara ya ku-protest vs serikali ya JPM inachowafanyia wapinzani hususan kesi mbichi ya Wabunge wa CDM huko Dar kuswekwa rumande bila sababu za msingi. Angetumia nafasi hii kumtumia meseji kuwa haya hayakubaliki. Badala yake anasifiwa kuwa moyoni ni CCM na anagenua meno.![]()
![]()
Siasa sio uadui wala vita. tunataka maendeleo bila kujali yameletwa na CCM au CHADEMA
Mkuu naomba tumpe nafasi nasari kwani ni kijana mdogo sana kiumli na kisiasa,bado tumpe nafasi na kama kafanya kosa naamini uongozi wa cdm upo macho sana na nasari anajua kabisa kuwa huo ubunge ni kwa tiketi ya cdm pia anamjua magufuli kuwa ni ndumilakuwiliSasa hayo maendeleo yatakujaje bila kutendeana haki? Shida ya JPM na watu kama nyie ni kuwa na fikira mgando kuwa anayejua maana ya 'maendeleo' ni CCM tu! Lakini mtoa mada amedokeza vizuri kuwa CCM hiyo hiyo ndio imelikisha taifa kuota 'majipu' sugu ambayo huyo huyo anayetamba kuyatumbua anasifia CCM kuleta maendeleo. Anajikinzani mwenyewe. Ndiyo, Nassari alipaswa kufanya maamuzi ya busara, kugoma kuhudhuria hiyo sherehe hata kama ilikuwa inafanyika jimboni mwake kama ishara ya ku-protest vs serikali ya JPM inachowafanyia wapinzani hususan kesi mbichi ya Wabunge wa CDM huko Dar kuswekwa rumande bila sababu za msingi. Angetumia nafasi hii kumtumia meseji kuwa haya hayakubaliki. Badala yake anasifiwa kuwa moyoni ni CCM na anagenua meno.
Kwani wewe bado upo na wivu na nasari tu?vipi ile mimba uliyopachikwa na mjeda ushajifungua?Chadema Mnatakiwa mumufukuze Nasary kwanza anatumbua tu Pesa za jimbo
Chadema Mnatakiwa mumufukuze Nasary kwanza anatumbua tu Pesa za jimbo
Sasa hayo maendeleo yatakujaje bila kutendeana haki? Shida ya JPM na watu kama nyie ni kuwa na fikira mgando kuwa anayejua maana ya 'maendeleo' ni CCM tu! Lakini mtoa mada amedokeza vizuri kuwa CCM hiyo hiyo ndio imelikisha taifa kuota 'majipu' sugu ambayo huyo huyo anayetamba kuyatumbua anasifia CCM kuleta maendeleo. Anajikinzani mwenyewe. Ndiyo, Nassari alipaswa kufanya maamuzi ya busara, kugoma kuhudhuria hiyo sherehe hata kama ilikuwa inafanyika jimboni mwake kama ishara ya ku-protest vs serikali ya JPM inachowafanyia wapinzani hususan kesi mbichi ya Wabunge wa CDM huko Dar kuswekwa rumande bila sababu za msingi. Angetumia nafasi hii kumtumia meseji kuwa haya hayakubaliki. Badala yake anasifiwa kuwa moyoni ni CCM na anagenua meno.
Kwani kosa la Nassari ni lipi hasa??Umesoma tu Kichwa cha habari cha uzi, Usingejibu hivi!