Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Joshua Nassari aiombe radhi CHADEMA

Someni Kabla Hamjajibu, Mimi Joshua simjui Kiundani wala Sina Chuki naye, Nimetathmini yaliyotokea na Haivumiliki. Kama anajitambua alitakiwa Amponde Magufuli, Huwezi Kukubali Kutumiwa kama, "Condom" Kuwatukana wenzako waliokufikisha ulipo. Na Pia kwa yaliyokuwa yakiendelea Huko Dar es salaam na Kilombero, Joshua Nassari hakupaswa kukutana na Magufuli. Ingekuwa Halima Mdee Ni dada yake Nassari angeenda Kukutana na aliyemweka Rumande kwa sababu za Kishenzi? Sasa hilo ndio naona lilikuwa Kosa Kubwa na Ujinga wa Nassari.
Kwahiyo na Chadema pia ikatae pesa za rudhuku kutoka kwa hao hao manyang'au wa CCM kwasababu tu ya Umeya na vurugu kama hizo???
 
Kwanza Marandu inabidi uombe radhi kwa kuongezea maneno ya uwongo.Magufuli hakusema ndani ni ccm,alisema ndani mpenda maendeleo. Lakini tuulizane hapa,Nassari alikuwa pekee mtu wa chadema pale kwenye mapokezi? Kwa nini asakamwe yeye tu.
Kulikuwa na Mh Meya wa jiji la Arusha,kulikuwa watu wengi tu wa chadema. Pili Mh Msigwa alimpokea waziri mkuu Mjaliwa lakini hayajasemwa. Tatu Mbunge Mh prof Jay juzi alikuwa na waziri wa mifugo jimboni kwake kutatua mgigoro wa wakulima wa miwa,mbona haulizwi chochote?
Huyu jamaa ana chuki na Nassari tu... Wengine wakifanya hivyo haongei ila Nassari kelele kibao
 
Kwahiyo na Chadema pia ikatae pesa za rudhuku kutoka kwa hao hao manyang'au wa CCM kwasababu tu ya Umeya na vurugu kama hizo???

Ruzuku Sio Pesa za CCM, Ruzuku Ni Pesa sa Kodi ya Wananchi, Ikiwemo zaidi ya 10,000,000 waliompigia Ukawa Kura za Urais MKAIBA Kiwaziwazi.
 
Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania
Ninyi ndio mnaweka kumbukumbu mbaya kwenye maisha ya siasa...Nassary ni Mbunge lazima atambuliwe na Rais ndio maana hata kwenye mkutano wa EAC mzee Mtei alitambuliwa na Raisi....wewe Marandu umeletwa chadema na Lowassa leo unawapangia wanachadema ambao wameanzia siasa zao chadema...Haya makundi ya 4U na TeamLowassa ni hatari sana kwa uhai wa chadema..wana uchu sana!
 
Unafiki uliopo sasa unaendelea kama kuna mtu kalipwa ili amchafue Mh Nassari amekosea, sioni kosa la Nassari. Nassary go go go go Nassary
 
Kwanza Marandu inabidi uombe radhi kwa kuongezea maneno ya uwongo.Magufuli hakusema ndani ni ccm,alisema ndani mpenda maendeleo. Lakini tuulizane hapa,Nassari alikuwa pekee mtu wa chadema pale kwenye mapokezi? Kwa nini asakamwe yeye tu.
Kulikuwa na Mh Meya wa jiji la Arusha,kulikuwa watu wengi tu wa chadema. Pili Mh Msigwa alimpokea waziri mkuu Mjaliwa lakini hayajasemwa. Tatu Mbunge Mh prof Jay juzi alikuwa na waziri wa mifugo jimboni kwake kutatua mgigoro wa wakulima wa miwa,mbona haulizwi chochote?

Sio Kweli Soma Gazeti la Nipashe Mimi Sikurupuki. Home
 
Ruzuku Sio Pesa za CCM, Ruzuku Ni Pesa sa Kodi ya Wananchi, Ikiwemo zaidi ya 10,000,000 waliompigia Ukawa Kura za Urais MKAIBA Kiwaziwazi.
Kama ni hivyo hata Magufuli ni rais wa watanzania hata sisi ambao hatukumpa kura tumeshamkubali.. Magufuli kaenda Arusha kama kiongozi wa serikali na si mwanachama wa CCM...

Mlaumu Nassari kama CDM haiitambui serikali lakini as long as wanaitambua basi hana kosa lolote. Kuna mchangiaji hapo kasema na Meya wa Arusha na viongozi wengine wa CDM walioenda mbona hujawa'address ??
 
Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania

Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.

Aidha, wananchi wa Goba (Wote CHADEMA na CCM) wamempokea Dk.Magufuli kwa shangwe wakimwita "JEMBE JEMBE" Clip ya video angalia hapo chini.

Pia alikuwepo Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh.John Mnyika na wote kwa pamoja wamesema "MAENDELEO HAYANA CHAMA"
 
Ninyi ndio mnaweka kumbukumbu mbaya kwenye maisha ya siasa...Nassary ni Mbunge lazima atambuliwe na Rais ndio maana hata kwenye mkutano wa EAC mzee Mtei alitambuliwa na Raisi....wewe Marandu umeletwa chadema na Lowassa leo unawapangia wanachadema ambao wameanzia siasa zao chadema...Haya makundi ya 4U na TeamLowassa ni hatari sana kwa uhai wa chadema..wana uchu sana!
Mkuu hawa watu wa Lowassa wana hasira sana na Mzee wao kuliko hata sie waliotukuta..
 
Ya Nasari hayaonekani ila yanakuja,kijana anajiingiza sehemu atayoijutia,ngoja tuone.....time will tell
 
Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania
Hizi ni hoja zisizo na tija katika ujenzi wa Taifa letu,njoo Meru kijana uone jinsi Nasari anavyofanya kazi kwa maendeleo ya wananchi. Huwezi kumlaumu Nasari kwa kusifiwa na Magufuli kwakuwa huo ulikuwa ni utashi wa Magufuli kumsifia na nasari hakuomba asifiwe.
 
Ok. Sasa naona baadhi yenu Chadema mnataka kufanya siasa za ufanatics.

Hiyo siasa ya "you are either with us or you are against us" ni siasa ya kizamani, ya kutumia nguvu bila akili.

Nassari simjui kabisa japo nimeishi kwa miaka mitatu jimboni kwake.

Ila kitu kimoja nakijua. Nassari amewekwa jimboni na wana arumemeru awe chachu ya maendeleo yao kama mwakilishi wao bungeni.

Hawajamweka pale kuonyeshana ubabe na Magufuli.

Siyo interest yao, siyo interest yake, na kiuhalisia -- na sisi wananchi tunaona-- kama Chadema itajikita kuonyeshana ubabe na Magufuli, huo ndo mwanzo wa mwisho wa Chadema.
Mtoa hoja asipo elewa hayo uliyoandika, basi hakuna namna nyingine ya kumuelewesha.
 
Someni Kabla Hamjajibu, Mimi Joshua simjui Kiundani wala Sina Chuki naye, Nimetathmini yaliyotokea na Haivumiliki. Kama anajitambua alitakiwa Amponde Magufuli, Huwezi Kukubali Kutumiwa kama, "Condom" Kuwatukana wenzako waliokufikisha ulipo. Na Pia kwa yaliyokuwa yakiendelea Huko Dar es salaam na Kilombero, Joshua Nassari hakupaswa kukutana na Magufuli. Ingekuwa Halima Mdee Ni dada yake Nassari angeenda Kukutana na aliyemweka Rumande kwa sababu za Kishenzi? Sasa hilo ndio naona lilikuwa Kosa Kubwa na Ujinga wa Nassari.
TL Marandu,tukiendesha nchi kwa visasi ni kwamba hatutapiga hatua hata moja. Rais kaongea ya kwake,waliokuwepo walisikia na wanajua kupima. Mbunge kumkaribisha raisi si vibaya na ndo ukomavu wa kisiasa. Nasari hana kosa lolote hapo,mnachokitafuta ni ubaguzi na Nasari ukumbuke hawezi kuwaletea maendeleo wana Arumeru bila coordination na wenye dola.
 
Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.

Aidha, wananchi wa Goba (Wote CHADEMA na CCM) wamempokea Dk.Magufuli kwa shangwe wakimwita "JEMBE JEMBE" Clip ya video angalia hapo chini.

Pia alikuwepo Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh.John Mnyika na wote kwa pamoja wamesema "MAENDELEO HAYANA CHAMA"
Mkuu umempa kumbukumbu nzuri sana...Huyu Marandu kaletwa na Lowassa chadema na ameshaanza kuwaadhibu aliowakuta.
 
Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania
Ungetumia nguvu hizo hizo kumkashifu JPM tungekuelewa kwa kuwa ndiye aliyetamka aliyoyatamka; Dogo Janja ana dhambi gani? Alikuwa pale kama kiongozi kuwalaki viongozi wa EAC; zama za siasa za uhasama uchwara zimepitwa na wakati; tafuta jambo la maana la kusema kwa hilo umebugi!
 
Niliona tetesi Jana, za habari ya Magufuli akimsifia Joshua Nassari, Kuwa Ni Kijana safi, ambaye Usoni ni Chadema lakini Ndani ni CCM. Haya yalikuwa Ni matusi ya Magufuli kwa Chadema kumtumia Nassari. Ni aibu sana na ni Unafiki Kusema ati mtu safi anayefanya Mema na anayetenda haki Ndani Ni CCM. Ni CCM ipi? Iliyoiba Ushindi wa Urais Bara? Iliyofuta Ushindi wa Zanzibar? Inayohaha Kila Mahali Kuiba Nafasi za Umeya? Iliyowarudisha wezi wote wa Escrow kwenye madaraka? Iliyokalia Uchafu wa Muhimbili, badari, TRA etc? CCM ipi ambayo huyu anazungumzia?

Najua Siku za Nyuma, Mwenyekiti Mbowe alishahudhuria na Kumsifia Kikwete na Magufuli katika Ufuunguzi wa Barabara. Lakini hakufanya hivyo wakati Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa wamekamatwa na Kufuunguliwa Kesi za Kishenzi. Alichokosea Nassari ni Timing, Kuwepo kwake Ziara za Magufuli kama Kimalaya fulani, Kumemfanya Magufuli amtumie sawia kujihalalisha na Kutukana Vyama.

Joshua Nassari bwana mdogo, Nikuambie Kuwa alichokupa Magufuli sio Sifa Ni Matusi, Nimekuona Kwenye Gazeti Ukichekelea kama juha, kwa sababu hutumii akili. Wakati akina Halima Mdee, Wabunge na Madiwani wa Chadema wakiwa Rumande wewe unapeleka maninii kwenye Ziara za anayetuma unyama huu.

Na Kama Ulilazamika Kwenda, Ulitakiwa Palepale baada ya Kikao Ukanushe, "Sifa" Zile na Useme wewe Upo pale Kama mbunge wa UKAWA na Huoni sawa Kufananishwa na CCM.

Mwisho Nikuambie Nassari Mwanangu, Ulichofanya Ni sawa na Kuwapiga Mateke ya Puani na Masikio, watu mmoja mmoja wa Chadema waliopigwa na Polisi, waliowekwe jela, waliokesha waliotoa fedha, waliokupigania kuwa Mbunge. Ukitaka Kujua CCM hawana Maslahi Na wewe Mwangalie Ole Sendeka! And you are very light weight compered to many! Hata Nikikusikiliza Bungeni Joshua Wewe bado Kabisa Kukua, angalia Usijinyonge Kisiasa.

Na Kwa Ukawa Kama Josua Hatatubu, Mvumilieni amalize Muda wake, lakini akimaliza aende atakako. Msimpe tena Tiketi ya Kugombea Ubunge Arumeru. Ni bora jimbo lipotee Kuliko kuwa na Mbunge anayesaliti Wenzake waliompigania
Kama siasa zitaendeshwa katika misingi ya chuki sidhani kama tutafika.
 
Back
Top Bottom