Rulleger
Member
- Aug 29, 2015
- 84
- 60
Ukweli post kama hii inaumiza ubongo kwa vile ina matusi. Nassari ni mbunge hastahili kuitwa malaya kwa sababu tu alionesha siasa ya undugu kwa kumpokea Magufuli.
Pili sifa za magufuli kwa Nassari ni siasa tu. Wakati wa kampeni alishasema Chadema wanampigia kampeni kwa vile wanasema M4C (Magufuli for Change). kama hukuamini hilo kwa nini uamini la kusema "Dogo" ana UCCM ndani yake?
Mwisho. Dogo ni diamond Arumeru. Acheni kumtisha. Utamweka nani chadema amshinde ubunge kama ataenda CCM kwa siasa za chuki?