Boney E.M.
JF-Expert Member
- Jan 22, 2007
- 425
- 37
Maana mnachosikitisha ni kuendeleza ubishi usio na faida yoyote its ok iwe 48 au 52 then!!
Life expectancy ya watanzania kwa sasa ni fupi kuliko hizo zilizotolewa.Kwa magonjwa, umaskini,
ARV feki vyakula vya kijenetik mnategemea mtanzania anakwepa wapi hapo?!!!!!Nendeni mkachangie
post za kujenga tufanyeje kuondoa rushwa ambayo ndio tatizo kubwa kwenye nchi yetu.
Pamoja na data zenu mmeshindwa kukemea rushwa inalimaliza taifa nani kanjanja hapo!!!!
hili ndo jambo wanatakiwa kuongea, hapa hatujasema kua hizo data za UNDP ni 100% lakini atleast tuna pakuanzia kuongea lakini dogo kachemka na data za vijiweniKijana wetu hapo amelipuka takwimu zinaonyesha ni 58.2, Ingawaje you can Question this data!!!
Kwa sababu ni mchemfu. Hatutaki kusikia hilo ila ndo ukweli wenyewe.
Anaongea bila ya kupima, ni tabia yake kuchemka chemka.
Mbona uongo wenu ninaokuuliza hutaki kuujibu badala yake unazunguka mbuyu tu? Huna hoja ya kuhalalisha huo uongo wenu ambao mliutoa Mbele ya wanahabari bila hata haya na ndiyo maana unakwepa kuuzungumzia.Life expectancy ya Mtanzania leo hii ni miaka 47 ? amma kweli, Tanzania tuna safafri ndefu sana ya kwenda, ikiwa hawa ndio vijana tunaodhani wataleta mabadiliko, wanazuwa uongo wa waziwazi kabisa.
Utajenga nini wakati wabunge wanawakilisha wananchi kwenye kutunga sheria wanasema uongo wa waziwazi na kuna https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/345499-watanzania-na-ubaguzi-wa-ujinga.html wanatetea huo uongo, ni ajabu kubwa sana.
Bora hata Mbowe kajiamulia kusema ukweli na kumsifu Kikwete, kakiri alikuwa hajui.
mkiombwa data mnabadili data, anzisha uzi wa rushwa uone kama hatukemei,, kubali tu dogo kachemka akihojia jana alianza hivi.." kimsingi kabisa serikali ilikurupuka kuondoa hilo fao la kujitoa, kwa nini nasema hivi kimsingi ukiangalia unakuta kua life expectance ya mtanzania ni miaka 47" mwisho wa kunukuu! ukiangalia na yeye mwenywe amekurupuka anatoa data za kijiweni.....
Uzi wa Zungu kukamatwa na rushwa upo kwenye jukwaa hilihili lakini sijaona comment zako wala
Zomba.Kama mngekuwa kweli mna lengo zuri la kukemea maovu iwe uongo au rushwa tungewaona kwenye
uzi wa Zungu......
kukurupuka kupost jf siyo vizuri .... fikirisha akili yako
kila taasisi Ina matokeo yake ya utafiti ...hata Uamsho wanaweza kutoa life expectancy data ....mungu peke yake ndiye mwenye kujua standard life expectancy tena ya individual
Si unajua nimeweka kambi kwanza hapa nikimaliza naenda huko.
Siyo kila anachosema mwansiasa kutoka CDM ni cha kweli, hata kama ni CDM kwani hamkosei? Naona CDM wanakuwa wagumu sana kuelewa na kubishana vitu vidogo vidogo kama hv, ki ukweli na kwa takwimu sahihi, Nassari kachemka, hata kama siipendi CCM lakini kwa ukweli utasemwa tu so long as tunajenga na si kusifia ujinga hata kama umesemwa na mtu wa CDM!.
......