Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Issue hapa ni kwamba, Nasari kachhemka, na zomba katokota vile vile.
Kukurupuka tu hovyo hovyo.........kati ya Nasari aliyeongea tu bila ku-google, na zomba aliye-Google kwanza na kupata wrong information, nani kenge kuliko mwenzake?

Zako wewe za ukweli ziko wapi? zangu hizi hapa:

Wewe onyesha chanzo chako wacha porojo, sisi tunaweka chanzo kilichotangazwa waziwazi mbele ya waandishi wa habari, hizo takwimu zako na za Nassari za miaka ya utawala wa Nyerere ambayo pengine wewe wala yeye mlikuwa hamjazaliwa:

UNDP wanasema hivi na si hivyo tu wanazitoa rasmi mbele ya waandishi wa habari, unaweza kuzikataa?

expentance.jpg
Director of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr Bohela Lunogelo (Left) speaks in Dar es Salaam yesterday during the launch of Human Development Report 2011. Center is UNDP's Economic Adviser, Amarakoon Bandara and UN Resident Coordinator Mr Alberic Kacou. PHOTO | VENANCE NESTORY

By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Thursday, 03 November 2011 22:59
Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) shows.

According to the report released yesterday by the UN Resident Coordinator in Tanzania, Mr Alberic Kacou, taking the lead in the EAC in terms of ranking of life expectancy, Kenyans follow Tanzanians with life expectancy of 57.1 years and Rwandans with 55.4 years.

Source: Tanzania

Ndio hizi hapa data zenyewe:

attachment.php

zangu zinatoka hapa: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf
 
Issue hapa ni kwamba, Nasari kachhemka, na zomba katokota vile vile.
Kukurupuka tu hovyo hovyo.........kati ya Nasari aliyeongea tu bila ku-google, na zomba aliye-Google kwanza na kupata wrong information, nani kenge kuliko mwenzake?.....

Kiongozi Hebu leta right info hapa zomba keshatoa zake.
 
Issue hapa ni kwamba, Nasari kachhemka, na zomba katokota vile vile.
Kukurupuka tu hovyo hovyo.........kati ya Nasari aliyeongea tu bila ku-google, na zomba aliye-Google kwanza na kupata wrong information, nani kenge kuliko mwenzake?.....

Mkuu suala la ''life expectancy'' ni la kinadharia zaidi na linategemea tafiti husika. Pengine Nassari amefanya utafiti wake tofauti na UNDP akapata hiyo parameter yake nani anajua?
 
Takwimu ni kitu cha kurahisha sana lakini kinaweza kukupa kilio pia. Hata uchumi wa nchi yetu nao umekua cha ajabu na machungu ya maisha nayo yako juu.

World bank ni nini bana,UNDP nini bana! wote wana malengo yao na wamewekeza kimiradi ambayo asilimia kubwa ya hela wanajirudishia wao kama consultancies na kusema hali imeboreka ni vyema kwao ili kujiwekea mazingira mazuri ya kuendeleza miradi yao.

Fika huko vijijini uone kama kuna hiyo dalili ya kuishi miaka 58. Hakuna zahanati na ikiwepo ni gofu hakuna dawa wala muuguzi, hiyo 58 wameipata kwa kuangakia register Agha Kan au Hindu Mandal, au ni takwimu toka AAR?

Jamani maisha ya watanzania ni magumu mno,wanaofika vijijini kwa shughuli zao mbalimbali watachangia.

Ati hali imeboreka,hebu tuangalie na takwimu za vifo na magonjwa japo mawili tu, malaria na ukimwi halafu tujiulize hiyo life expectancy ya 58 takwimu ni za wapi? Za kupika tu hizo.
 
Mkuu suala la ''life expectancy'' ni la kinadharia zaidi na linategemea tafiti husika. Pengine Nassari amefanya utafiti wake tofauti na UNDP akapata hiyo parameter yake nani anajua?.....

Unajua hawa viazi hawa wanaogomea tafiti kama Census ndo tatizo kwenye nchi hii!
Wako fasta kukimbilia report za UN na World bank.......Zipo sahihi kiasi gani?

Kwamfano, Mtu akisema HIV prevalence ni 12%, utabisha bila kumuuliza hiyo ni Tanzania, Iringa au Kigoma? je utakurupuka bila kumuuliza ni mwaka gani na data za lini?

Labda anaongelea katika level ya domestic.......kwa maana jimboni kwake.
 
Issue hapa ni kwamba, Nasari kachhemka, na zomba katokota vile vile.
Kukurupuka tu hovyo hovyo.........kati ya Nasari aliyeongea tu bila ku-google, na zomba aliye-Google kwanza na kupata wrong information, nani kenge kuliko mwenzake?.....

Zomba ndo kachemka huyu analisha watu sumu maana data haziendani na uhalisia wa maisha ya mtanzania. Nassari hata kama kakosea lakini uhalisia wa maisha ya mtanzania unaonekana au zomba anaishi Marekani?
 
Takwimu ni kitu cha kurahisha sana lakini kinaweza kukupa kilio pia. Hata uchumi wa nchi yetu nao umekua cha ajabu na machungu ya maisha nayo yako juu. World bank ni nini bana,UNDP nini bana! wote wana malengo yao na wamewekeza kimiradi ambayo asilimia kubwa ya hela wanajirudishia wao kama consultancies na kusema hali imeboreka ni vyema kwao ili kujiwekea mazingira mazuri ya kuendeleza miradi yao. Fiki huko vijijini uone kama kuna hiyo dalili ya kuishi miaka 58. Hakuna zahanati na ikiwepo ni gofu hakuna dawa wala muuguzi, hiyo 58 wameipata kwa kuangakia register Agha Kan au Hindu Mandal, au ni takwimu toka AAR? Jamani maisha ya watanzania ni magumu mno,wanaofika vijijini kwa shughuli zao mbalimbali watachangia. Ati hali imeboreka,hebu tuangalie na takwimu za vifo na magonjwa japo mawili tu, malaria na ukimwi halafu tujiulize hiyo life expectancy ya 58 takwimu ni za wapi? Za kupika tu hizo.
leteni basi hizo zisizopikwa? mbona maneno maneno mengi? mbona mara nyingi tu hapa watu wankuja na tkwimu katika kuelezea mambo na watu hawapingi na wanazitumia? hiyo kupika au kupikwa inahitaji justification otherwise bado tunatumia takwimu hizi hizi!
 
Mkuu suala la ''life expectancy'' ni la kinadharia zaidi na linategemea tafiti husika. Pengine Nassari amefanya utafiti wake tofauti na UNDP akapata hiyo parameter yake nani anajua?

Kama wewe hujui si ukae kimya tu au uje na huo utafiti uweke hapa. UNDP na link nimekuwekea na walivyofanya utafiti wao wanaelezea. Wewe kumbe ni walewale?
 
Zomba ndo kachemka huyu analisha watu sumu maana data haziendani na uhalisia wa maisha ya mtanzania. Nassari hata kama kakosea lakini uhalisia wa maisha ya mtanzania unaonekana au zomba anaishi Marekani?
Hizi takwimu za Zomba hazijatolewa leo, ni za siku nyingi na zimetolewa kwa public na sikuona mkipingana nazo! ishu hapa ni wapi Nasari katoa hizo data za 47, kama unajua leta hapa
 
Zomba ndo kachemka huyu analisha watu sumu maana data haziendani na uhalisia wa maisha ya mtanzania. Nassari hata kama kakosea lakini uhalisia wa maisha ya mtanzania unaonekana au zomba anaishi Marekani?

Weka data zako zinazoendana na za Nassari wacha porojo, uhalisia wa maisha unaujuwa au unasema tu?
 
Issue hapa ni kwamba, Nasari kachhemka, na zomba katokota vile vile.
Kukurupuka tu hovyo hovyo.........kati ya Nasari aliyeongea tu bila ku-google, na zomba aliye-Google kwanza na kupata wrong information, nani kenge kuliko mwenzake?
jibu: zomba
 
Last edited by a moderator:
Dogo haku check facts zake kwanza.

Ukiwa unaonega kitu ambacho huna hakika nacho hutakiwi kuwa too specific.
 
Wee Zomba, acha fikra finyu, kumbuka kwamba kuna source nyingi sana za kupata takwimu mbalimbali na kwamba kila source inatoa matokeo kulingana na utafiti wao ulivyowaonyesha. Sasa Unaijua source ya Nasari au umekurupuka tu kusema kwamba anadanganya? Na mbona hili la Nasari umeliongea kwa hisia zote lakini zile za yule jamaa yenu za kusema kwamba Tanzania imetokana na muungano wa Zimbabwe na Pemba Hukiungea chochote? Toa maoni yako, huyo jamaa yenu alidanganya vyombo vya habari pamoja na watanzania kwa ujumla au "aliteleza ulimi"?
 
Dogo haku check facts zake kwanza.

Ukiwa unaonega kitu ambacho huna hakika nacho hutakiwi kuwa too specific.
Unachosema ni ukweli mkuu, tatizo la watu hapa JF wana mambo ya uchama, ndio unawaaribu kabisa yaani wanaangalia nani kasema nini, kiuhalisia dogo nilivyomuona jana alichemka anachuakua mambo ya vijiweni kama yalivyo
 
Unajua hawa viazi hawa wanaogomea tafiti kama Census ndo tatizo kwenye nchi hii!
Wako fasta kukimbilia report za UN na World bank.......Zipo sahihi kiasi gani?

Kwamfano, Mtu akisema HIV prevalence ni 12%, utabisha bila kumuuliza hiyo ni Tanzania, Iringa au Kigoma? je utakurupuka bila kumuuliza ni mwaka gani na data za lini?

Labda anaongelea katika level ya domestic.......kwa maana jimboni kwake.

Wanasoma lakini hawelewi, wana macho lakini hayaoni, wana masikio lakini hayasikii. Ndio walewale: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/345499-watanzania-na-ubaguzi-wa-ujinga.html

Wewe data zako ziko wapi? mimi nimeweka zangu, tazama vizuri post #1
 
Watu wananishangaza sana eti wanabishana na data za UNDP kwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom