Wee Zomba, acha fikra finyu, kumbuka kwamba kuna source nyingi sana za kupata takwimu mbalimbali na kwamba kila source inatoa matokeo kulingana na utafiti wao ulivyowaonyesha. Sasa Unaijua source ya Nasari au umekurupuka tu kusema kwamba anadanganya? Na mbona hili la Nasari umeliongea kwa hisia zote lakini zile za yule jamaa yenu za kusema kwamba Tanzania imetokana na muungano wa Zimbabwe na Pemba Hukiungea chochote? Toa maoni yako, huyo jamaa yenu alidanganya vyombo vya habari pamoja na watanzania kwa ujumla au "aliteleza ulimi"?
You never know otherwise how could he say 47% and not 58%?
Watu wananishangaza sana eti wanabishana na data za UNDP kwikwikwikwi
mkuu siwezi kubishana na watu waliozoea ubishi wa kwenye mihadhara ya kidini..........Mmekosa majibu mnatetea Ubaguzi wa Ujinga, ndio walewale: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/345499-watanzania-na-ubaguzi-wa-ujinga.html
Watu wananishangaza sana eti wanabishana na data za UNDP kwikwikwikwi
Kama wewe ni mtaalamu sana we sources, tuambie Muungano wa zimbabwe na pemba mmeupata kutoka source gani kama sio uongo wenu?Wacha porojo, weka zako zitowe kokote utakakozitowa, mimi nimeweka hizo hapo post #1 , naona mnabishana tu bila kuja na data zinazoendana na kauli ya uongo ya Nassari.
Umeona eeh, mapenzi yakizidi yanamfanya mtu kua mjingaPlease.....!
Tunaomba takwimu sahihi mkuu, au tueleze 47 imetoka wapi?Unajua hawa viazi hawa wanaogomea tafiti kama Census ndo tatizo kwenye nchi hii!
Wako fasta kukimbilia report za UN na World bank.......Zipo sahihi kiasi gani?
Kwamfano, Mtu akisema HIV prevalence ni 12%, utabisha bila kumuuliza hiyo ni Tanzania, Iringa au Kigoma? je utakurupuka bila kumuuliza ni mwaka gani na data za lini?
Labda anaongelea katika level ya domestic.......kwa maana jimboni kwake.
Shida yako unafikiri kua mtu akiongea ukweli humu ni CCM, tafuta thread zangu mi popote kwenye ukweli nasema tu sina chama humu! kwani Juzi hukuona nilivyokua napingana na Zomba kuhusu Fao la kujitoa?
You never know otherwise how could he say 47% and not 58%?
mkuu siwezi kubishana na watu waliozoea ubishi wa kwenye mihadhara ya kidini..........
Acha ukanjanja wewe, fupi ngapi? na ulete data hapaMaana mnachosikitisha ni kuendeleza ubishi usio na faida yoyote its ok iwe 48 au 52 then!!
Life expectancy ya watanzania kwa sasa ni fupi kuliko hizo zilizotolewa.Kwa magonjwa, umaskini,
ARV feki vyakula vya kijenetik mnategemea mtanzania anakwepa wapi hapo?!!!!!Nendeni mkachangie
post za kujenga tufanyeje kuondoa rushwa ambayo ndio tatizo kubwa kwenye nchi yetu.
Wacha porojo, weka zako zitowe kokote utakakozitowa, mimi nimeweka hizo hapo post #1 , naona mnabishana tu bila kuja na data zinazoendana na kauli ya uongo ya Nassari.
Kama wewe ni mtaalamu sana we sources, tuambie Muungano wa zimbabwe na pemba mmeupata kutoka source gani kama sio uongo wenu?
Acha ukanjanja wewe, fupi ngapi? na ulete data hapa