Mkuu,Kingunge alikuwa mjamaa Enzi Za Nyerere, Enzi Za Kikwete Kawa fisadi, mtu unabadilika kutokana na mazingira na kucheza na fursa na yeye Sasa hivi atabadilika atamuunga mkono magufuli, kama alivyobadilika Sofia simba.
Mkuu,Siasa ni ngumu sana
Kingunge alikuwa mjamaa Enzi Za Nyerere, Enzi Za Kikwete Kawa fisadi, mtu unabadilika kutokana na mazingira na kucheza na fursa na yeye Sasa hivi atabadilika atamuunga mkono magufuli, kama alivyobadilika Sofia simba.
hv hawa jamaa wanaomlinda maguful ni usalama wa ccm au usalama wa taifa kama ni wataifa basi wapelekewe ulinzi na wagombea urais wengne dah ccm wanatumia nguvu kaz ya wote kwa matumiz yao ya chama wale wanalipwa ela ya kodi ya wananchi tena wengne c wanachama wa ccm au wanalipwa ela za ccm?
Mkuu,Kweli CC ya CCM wana kiburi sana.Wamewaona hao wenyeviti wote haziko sawa.CCM ina wenyewe.