Joseph Msukuma ni nani?

Joseph Msukuma ni nani?

CV - Curriculum Vitae, a brief account of a person's education, qualifications, and previous occupations, typically sent with a job application.

Education Background:
1979 - 1986 Primary School Fulwe Primary School CPEE
==================================
Appointments in political institutions:
2010 - 2010 Councillor Chama Cha Mapinduzi
2011 - 2011 Chairman-Geita Council Chama Cha Mapinduzi
2012 - 2015 Chairman-Geita Region Chama Cha Mapinduzi
==================================
Work experience:
Nill
 
std 7 ya 'kuungaunga' kama manati.
Ni vzr sasa kuwepo na kipengele cha mtu kugombea ubunge, angalao awe na degree 1 tuachane na hawa watu wa mipasho Bungeni na wasio na tija kwa taifa.
 
attachment.php

Kwa mara ya kwanza nilimuona Bwn.Joseph Kasheku (Msukuma) akiwa kwenye kipindi cha siasa Star TV, akatambulishwa kama Mwenyekiti wa CCM Geita.

Sikumtilia maanani sana kwa kuwa alijaa majigambo kuliko hoja, tofauti na makamanda wa SAUT ambao walijenga hoja nzito. Alionekana bwana mdogo tu hivi!

Ghafla nikasikia Mh. Mwigulu anakata mawimbi na "Chopa la Msukuma". Na leo pale kwenye Safari isiyo na Matumaini kafanya taiz kutua na Chopa.

Sasa wanaomjua vizuri watupe details, huyu ni nani hasa, katoa wapi mapesa haya yote, halafu kama vile kwa umri mdogo!!
Huyo ni Mhutu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sasa wanaomjua vizuri watupe details, huyu ni nani hasa, katoa wapi mapesa haya yote, halafu kama vile kwa umri mdogo!!
Nimemsikiliza Dr Kasheku Musukuma kupitia hii video nimejifunza mengi sana.

1. Kumbe ukiwa na PhD unapata visa ya kuzunguka duniani kote. Na usomi wangu wote sikuwahi sikia hili.

2.kumbe honoris causa inakupa fursa kubwa kuliko PhD ya kukaa darasani

3. Nimejifunza waafrika wengi tuna haiba ya kuvichukia vitu ambavyo tumeshindwa kuvipata. Kupitia video hii Dr. Musukuma ameeleza wazi wazi furaha aliyonayo baada ya yeye sasa kuwa na PhD ambapo awali alionesha chuki za wazi kwa wasomi

Mwisho katuambia tuache wivu, yeye ni next level now, hivyo tujitume sana kukipata alichopata.View attachment 2036688
Mkuu Lusungo , kwanza asante kwa hii, kiukweli huyu jamaa ni habari nyingine!, mimi baada ya kuangalia zile two series za makala kuhusu historia ya maisha yake, niliwahi kusema kitu kumhusu mtu huyu, na kila nikimsikiliza hoja zake, japo sometimes ana hoja za msingi sana, lakini huyu jamaa ni issue! GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!

Hata niliposema hivi kutuhusu sisi Watanzania, Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Nikimsikiliza mtu kama huyu na baadhi ya hoja zake, kiukweli kabisa, I was right, hili bandiko lina msadifu!.

Update,
Nilikuja kuongea nae, huyu jamaa ni kichwa mbaya msikilize hapa
View: https://youtu.be/5UVkfnK598o?si=D9tC_u4xVYVWGE28
Na hapa

View: https://youtu.be/U7sOXItd6P0?si=kko3Hg-jrZWdzkpO
P
 
attachment.php

Kwa mara ya kwanza nilimuona Bwn.Joseph Kasheku (Msukuma) akiwa kwenye kipindi cha siasa Star TV, akatambulishwa kama Mwenyekiti wa CCM Geita.

Sikumtilia maanani sana kwa kuwa alijaa majigambo kuliko hoja, tofauti na makamanda wa SAUT ambao walijenga hoja nzito. Alionekana bwana mdogo tu hivi!

Ghafla nikasikia Mh. Mwigulu anakata mawimbi na "Chopa la Msukuma". Na leo pale kwenye Safari isiyo na Matumaini kafanya taiz kutua na Chopa.

Sasa wanaomjua vizuri watupe details, huyu ni nani hasa, katoa wapi mapesa haya yote, halafu kama vile kwa umri mdogo!!
Ana kipaji cha kuongea na kupanga hoja, shida kubwa ni elimu. Angekuwa na elimu ya kutosha angefika mbali sana.
 
Back
Top Bottom