Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,936
- 134,006
- Thread starter
- #41
amesoma mpaka la ngapi?ila inaonyesha kwao yeye ndio mwenye elimu ndogo zaidi
amesoma mpaka la ngapi?ila inaonyesha kwao yeye ndio mwenye elimu ndogo zaidi
Duuh pana ukweli fulani hapo.Ni mjinga fulani, ambae amewahi dhalilika vibaya kwenye mjadala mmoja hapo star TV mpaka leo hawajamuita. Nashangaa mwanzoni alikuwa anampiga vita lowassa hadi akakosana na hamisi mgeja, lakini sasa hivi yupo team lowassa! Kitu nina uhakika nacho atakuwa mshirikina wa hali ya juu, maskini albino wa geita!
Hivi helkopta kama hiyo sh ngapi?
Kila nikitazama marafiki wa Lowassa napata hasira sana
huyu ni kada wa ccm ambaye anataka kugombea jimbo la geita,ila kwa kweli upstairs ni box tupu,hata ccm wanajuta kumpa nafasi ya uenyekiti wa ccm mkoa,
aliwahi kuifuta kazi kamati ya siasa ya mkoa wakati anajua hana uwezo huo,kuna kipindi halmashauri ya geita ilikuwa na ujenzi wa choo katika eneo la umma,yeye akaenda na kundi la mabaunsa wakaenda kukifukia,yaani ni tatizo
Hana basi hata moja kwa sasa,hana maduka yoyote ya jumla bali ana duka moja la used spare,hana ndugu yoyote nje ya nchi hvy usizungumze uzushi mkuu.msukuma ana miliki mabasi mengi tu yanayo itwa msukuma line yananzia safar zake mwanza kuelekea geita na kwingneko kama bariad nk ana maduka ya jumla mwanza na katoro ni mfabiashara wa madini. na kimsing ametokea familia ya watafutaji ana ndugu zake wengne wa marekani familia yao haimtegemei yeye pekee. ila inaonyesha kwao yeye ndio mwenye elimu ndogo zaidi
Mimi NACHOKA Kabisa Na Kusikia KICHEFUCHEFU.
amesoma mpaka la ngapi?
asante kwa picha,nasikia anamiliki mabasi nk
Dola 100,000 tu,mkuu zimejaa kibao sauz
Mkuu kama tulikuwa wote!
Hadi Lowasa aliacha jukwaa na kushuka kwenda kumpokea!
Kibonde akakatisha orodha ya wa wasemaji waliotangulia na kumwita msukuma ambaye ndo amefika tu!
(Nikajiuliza sana huyu jamaa ni nani )????????