Pole sana ndugu yaonekana hujui taratibu za ulinzi wa viongozi ulivyo lakini pia zungumza na slaa atakueleza hadithi kabila ilivyo pengine utafunguka kichwa chako.Tuseme kweli hawa jamaa usalama wakiulizwa mbele ya dunia inakuwaje mgombea tayari anaanza kupewa such an attention na Dr.Slaa naye atapewa akishatangazwa tu? Why does a presidential candidate deserve such a public attention kuna uchaguzi kweli and why the F should the government spent so much money on BRV.
Ushamba wa mwafrika bwana these people can not disguise anything hivi marekani iwaachie ulinzi wa raisi wao kwa watu kama hawa kweli, no wonder mzungu nayeye keshajua ndio maana anasema its pretty much a one party state.
Kweli CC ya CCM wana kiburi sana.Wamewaona hao wenyeviti wote haziko sawa.CCM ina wenyewe.
Mkuu,
Siasa siyo ngumu kama utaweza kuzicheza vizuri!
Waliosema usibebe mayai yote kwenye kapu moja hawakukosea!
Labda alitumwa na magufuli kumuharabia Edo. U never know.
Mkuu,
Hoja siyo suala la Magufuli kuwa muwazi au la, suala ni kwa Msukuma kutumia mtaji wote kucheza kamari ya kisiasa!
Mkuu,team ya magufuli imevamiwa na mamluki kwa kasi kubwa sana
Mkuu,kila binadamu ana haki pasipo kuvunja sheria
Mkuu,ndugu zanguni. tulikuwa tunawaambia siku zote. dr. magufuli alikuwa ndio anafaa zaidi kwa nafasi ya urais kwasasa. Mungu amesaidia. maombi yangu yametimia.