Ushabiki wa Uchadema utasababisha wengi kutofanya kazi zao
Unajua kwa nini leka dutigite ilikufa? Zitto ni nyoka....amini usiamini
Unajua kwa nini leka dutigite ilikufa? Zitto ni nyoka....amini usiamini
Zitto kama mwenyekiti wa PAC hakustahili kufanyabiashara na mashirika anayoyasimamia full stop hakuna kuonewa hakuna longo longo Zitto ni fisadi mjanja.
Zitto kama mwenyekiti wa PAC hakustahili kufanyabiashara na mashirika anayoyasimamia full stop hakuna kuonewa hakuna longo longo Zitto ni fisadi mjanja.
Tatizo la Chadema wanamfata mtu mmoja mmoja
Wasio na Elimu ndani ya chadema ndio wanapewa kipaumbele...
Tatizo la Chadema wanamfata mtu mmoja mmoja
CHADEMA waache chuki binafsi za kumshambulia mtu kisa tu hataki kufuata mkumbo wao.
sugu kachemka na mbowe anakosea sana kuendelea kutumia vijana wake kama sugu na lema kumshambulia zitto wakati wapo kwenye mkakati mmoja ndani ya ukawa ilo swala lilishatolewaga ufafanuzi sku nyngi kua waliomba sponsor ya event wakapewa na hakuna ubaya...zto wanazidi kumpa credt ts beta atuletee hotuba yenye kutueleza kua tutafkaje world cup 2018 na mpango mkakati si stor za vsa mambo ya vsa kuna vkao vya chama huko chadema
Hivi kweli Sugu anaweza kupambana kwa hoja na zitto.
Kwakweli chadema mna jiaibisha sana.
Nssf ina mdai mbowe hadi sasa hajalipa.