Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Wasio na Elimu ndani ya chadema ndio wanapewa kipaumbele...

Ni kweli mkuu. CHADEMA hawaangalii elimu kama ya akina Prof Muhongo ya kutengenezea juice. CHADEMA wanaangalia intelligence ya mtu. Ndo maana mtu kama Mh Lema hana elimu lakini intelligence yake inawafundisha akina Dr Mwakyembe kuwa waache kuwaza kuhusu ndege wakati hata mashimo ya vyoo vya watoto wetu mashuleni tunaomba wafadhili watuchi,bie.
 
Wana jamvi hotuba ya mh sugu bungeni imemgusa mh zitto kama miongoni mwa wanakampuni tajwa katika hotuba ya sugu yenye maslahi na nssf na tanapa,lakini kuna uzi umewekwa humu ndani ukisema zitto amejibu kwakusema hizo ni siasa za maji taka,akiwa na maana hahusiki,je ukweli upo?
 
Huu ni ujinga hata kukata mti uliokalia. Kisiasa ni kukosa dira. Siasa ni kuficha yale yote yaliyo na interest zako na kufanya upande wmeingine wabaini kwa kufanya homework yake. This is cheap politics. Tanzania bado sana CCM kuondoka.

Siamini CHADEMA kumkata Zitto ni sawa na Kukata Tawi walilo kalia, Nacho Ona hapo ni Pigo kuu kwa ACT.
 
Shida ya kuendesha chama kwa matukio hili nalo aita na likishapita chama kinarudi tena juu ya mawe chama hakina ajenda endelevu ambazo wanaweza wakazitekeleza angalau hata kwa miaka miwili wao ni matukio tu tusubiri 2015 sina uhakika kama wabunge wa majimbo kama watafika hata kumi na tano!!!!!!!!!!!!!
 
Je Yesu na Yuda nani mbaya na nani Mwema nani Mzalendo na Msaliti

Nirudi kwenye mada ZI wa masalia, mbunge wa mahakama, P7 na Wa Ripoti ya uchunguzi na Waraka wa Siri mwanachama na Mwanzilishi wa ACT-Bongo au mwingine unamlinganisha na Rais wa Mbeya?
Naomba mwongozo ndipo nichangie usikute unamwona Yuda naye ni Mzalendo? hata kama ni mapenzi yako yamekupofusha huwezi ona njia
 
fuata mkumbo upoteee,,haKUna chadema hakuna ccm wote wapo kwa ajili ya matumbo yao,,------- KABISA......DIRTY POLITICS DIRTY PEOPLE, JIULIZE HUYO ZITTO ANGEKUWA MTU WAO WANGEMFANYIA HIVYOOO, NA HAWAKUJUA TANGU WALIVYOKUWA NAE AU,,,WATANZANIA AMKENI EPUKA SIASA CHAFU
 
Chadema mnapoteza Muda kutafuta sifa kwa kufanya mambo muonekane wakujali. Mnafanye mema machon mwa watu mpate credit, behind the scene ni zaidi ya aliejivika ngozi ya kondoo kumbe chui hajala ana myaka kenda.

Unafik huu mpaka Lini? Siasa gan hz mwafanya? Hv hicho ni chama? Ama un registered Saccos? Inakeraaaaaaaaa.

At timez we depended on u, sasa tunajuuuuta kuwaunga Mkono.

Ebooo.
 
Sina kadi ya Chama chochote na sitakuwa na kadi hiyo. Sishabikii chama chochote kile maana sio lazima. Ninayo haki kikatiba kutoa yaliyo moyoni kwangu.
Chadema haitapata Raisi 2015

Maelezo mengi ya nini kwani ungesema sentensi ya mwisho usingeeleweka au ulidhani maandishi yangefutika bila ngonjera!!!?
 
Hawa ni sehemu ya Dola!
Ukitaka ufahamu vizuri angalaia Mama yake Zitto Kabwe anavyohudumiwa na Dola ndani na nje ya nchi!!
Wakati mama Zitto Kabwe akiwa ICU taarifa hizo zimesitua watawala hadi kwenda haraka kwenda kumuona kuliko hata Vicky Kamata ambaye ni danguro lao!
Zitto Kabwe na Mama Zitto Kabwe ni sehemu ya watawala wa sasa hata Mungu akiamua utaona huko Kigoma
Utanikumbuka!!
bora Mungu aamue tuone sinema
 
Mh.zitto hajakanusha kuwa hahusiki ila amesema kampuni zile siyo za kibiashara (faida)
 
zitto ameshatoa taarifa kuwa kampuni ile imesajiliwa kama kampuni isiyo ya kibiashara. Hilo linatosha kumaliza mjadala wa mgongano wa maslahi. Maswali mengine aliyoibua sugu yanapaswa kujibiwa na NSSF na TANAPA sio zitto wala kampuni zake.
 
Kashifa zote zilizoibuliwa na cdm ulishawahi kusikia ya uongo hata moja?
So hata hii itakuwa kweli ila mfa maji haishi kutapatapa ndicho anachokifanya kabwe
 
Kashifa zote zilizoibuliwa na cdm ulishawahi kusikia ya uongo hata moja?
So hata hii itakuwa kweli ila mfa maji haishi kutapatapa ndicho anachokifanya kabwe

Ile Kashfa ya karatasi za kura kwenye kontena la futi 20 huko Tunduma ilikuwa ya kweli?
cc: Ritz
 
Last edited by a moderator:
Paw hebu tusaidie kuunganisha hii thread na ile ya awali, naona maudhui ni yale yale!
 
Last edited by a moderator:
Paw hebu tusaidie kuunganisha hii thread na ile ya awali, naona maudhui ni yale yale!

usiwafundishe kazi mbulura wewe! Ameguswa gamba mwenzio aliye kwa mkopo act umeshikwa tumbo la kuhara? Wahi msalani ukapunguze
 
Last edited by a moderator:
zitto ni zii kabisa!!!

Unafki siyo jambo Jema!!
 
Back
Top Bottom