Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Zitto alihongwa pesa nyingi sana na usalama aimalize chadema,
Sasa anatuhumiwa kulamba fedha za Nssf na Tanapa.....ashitakiwe huyu, asiachwe hivihivi,
Mama yake anahudumiwa na madaktari bingwa....asijifanye yeye ndiye mganga wa mama yake kisa kaambiwa amefisadi mashirika ya umma. Mama yake tunamuombea sote kama mama yetu apate afya mapema,

we mwehu weka ushahidi hapa
 
Daah wewe ---- kweli sasa kashambuliwa mtu mmoja kivipi wakati hio ni kampuni na wametajwa Tanapa na NSSF? Si hivo tu hata mkurugenzi mwenzie katajwa.
Issue ilikuwa sio kusema eti zitto anashambuliwa hapo issue je madai haya ya ukweli au uzushi?
Tusiwe na mapenzi na ushabiki kwa kipuuzi because sisi ndio tunaiua hii nchi. Teteeni penye haki na kosoa penye ukweli.

mbowe ameshalipa mkopo wake wa nssf?
 
CCM is STABILIZING
CUF is SHRINKLING
CHADEMA is DISAPPEARING



chadema without ZZK is no more
R.I.P CDM
 
teh,teh umeona rangi ngapi mpaka mda huu
Sugu ni mwehu

Baada ya hapo, kati ya tarehe
14 Januari na 7 Februari, 2013,
akaunti ya Leka Dutigite Ltd.
iliingiziwa jumla ya shilingi
28,600,000. Fedha hizi zote
ziliingizwa kama fedha taslimu
na mtu aitwaye Mchange
(shilingi 3,600,000 tarehe 14
Januari, 2013)
 
Kwa hiyo hayo mmeamua kusema (kama ni kweli imetokea) kwa kuwa tu "mmetibuana" na Zitto ?

Kwa hiyo sasa tujue kuwa kuna mengi huwa mnayafukia kama tu mkijua yana mkono wa Chadomo ?
 
Sugu unapolishwa maneno na mbowe ukaongee bungeni changanya na akili zako tunatambua huna uwezo wa kujibishana kwa hoja na zzk.Kashindwa mama kifalanga,kifalanga wee ndo utaweza, kipindi cha mgogolo mbowe aliahidi kufungua kesi zidi ya zitto kabwe lakini mpaka leo hajafungua.Na wote mlio munyooshea kidole zzk 2015 mtaanguka vibaya kwenye majimbo yenu.
 
teh,teh umeona rangi ngapi mpaka mda huu

Baada ya hapo, kati ya tarehe
14 Januari na 7 Februari, 2013,
akaunti ya Leka Dutigite Ltd.
iliingiziwa jumla ya shilingi
28,600,000. Fedha hizi zote
ziliingizwa kama fedha taslimu
na mtu aitwaye Mchange
(shilingi 3,600,000 tarehe 14
Januari, 2013)

hahahaaa mkuu unawabamiza na wanabamizika endelea kuwachapa
 
teh,teh umeona rangi ngapi mpaka mda huu

Baada ya hapo, kati ya tarehe
14 Januari na 7 Februari, 2013,
akaunti ya Leka Dutigite Ltd.
iliingiziwa jumla ya shilingi
28,600,000. Fedha hizi zote
ziliingizwa kama fedha taslimu
na mtu aitwaye Mchange
(shilingi 3,600,000 tarehe 14
Januari, 2013)

zito ndio mwanasiasa bora wa upinzani tanzania nzima
 
Ukweli wa uongo ni mda...chadema kupambana na zitto badala ya kujenga hoja ni maajabu tuu ya kawaida ndani ya bunge. Jitahidini sna kupakana matope maana nguvu iliyotumika kujenga chama ndio hyohyo inayotumika kukibomoa chama!!

#teamReberal #
 
Mkuu sio 2015 tu. CHADEMA hawatakaa waupate urais wa nchi hii milele na milele.

Ha ha a aah!! Kweli kufunga ndoa na siasa kazi!! Hiyo milele na milele wewe utakuwepo? Si ajabu kujiita Msalani!
 
Kisheria bado ni Mbunge wa upinzani,na wakati hayo yanatokea alikuwa ndani ya uongozi wa juu wa CDM,ni haki yetu kuhoji.
Na ndio Maana CHADEMA tumemtimulia mbali
 
Mbona TANAPA wanalipa mabilioni ya fedha CNN na BBC na kwinginepo kujitangaza hamsemi..!! How can you question TANAPA kuwatumia wasanii wa ndani kujitangaza ili kukuza utalii wa ndani..?? Ishu hapo ingekua kama ZZK alipiga hizo hela mwenyewe akawarusha wale artist waliotumika BUT if that is not a case hapo hamna issue isipokua MAJUNGU..!! Me nadhani SUGU alitaka apewe hilo dili yeye but unfortunately he is not that popular anymore and only SIASA za maji taka kama hizi ndo zinamfaa...!!
 
Sina kadi ya Chama chochote na sitakuwa na kadi hiyo. Sishabikii chama chochote kile maana sio lazima. Ninayo haki kikatiba kutoa yaliyo moyoni kwangu.
Chadema haitapata Raisi 2015
Umezunguka mno! "Jamiiforums ni jukwaa huru".
 
Ushabiki wa Uchadema utasababisha wengi kutofanya kazi zao
Acha ubabaishaji; hoja ni jinsi huyo Zitto alivyoihujumu nchi kwa kujihusisha katika kashfa hiyo. Suala hapa si uchadema au u-CCM bali ni uchungu kwa taifa na dhulma ya fedha za walalahoi.
 
Back
Top Bottom