zitto ni zii kabisa!!!
Unafki siyo jambo Jema!!
Sijui kama niko sahii nikiongezea neno "zezeta" hapo juu?
zitto ni zii kabisa!!!
Unafki siyo jambo Jema!!
shuka nayozitto ameshatoa taarifa kuwa kampuni ile imesajiliwa kama kampuni isiyo ya kibiashara. Hilo linatosha kumaliza mjadala wa mgongano wa maslahi. Maswali mengine aliyoibua sugu yanapaswa kujibiwa na NSSF na TANAPA sio zitto wala kampuni zake.
hakuna mahali hotuba ya kambi imesema fedha imeliwa au mtu kale fedha, hotuba inaelezea mgongano wa kimaslahi, je uwepo wa zzk kwenye hizo kampuni si ndio upatianaji wa kazi? Then ni vipi ZZK ataweza kutimiza wajibu wa kuzikagua haya mashirika ya umma wakati tayari ananufaika kwa kundi lake kupatiwa kazi?
Faida ambazo zito anaweza kupata, kupitia wasanii ni nyingi sana kisiasa, hivyo kuna some of butter trade or cash trade or vyote. Uwepo wa ZZK Gombe na kuwa na hisa Leka ni mgongano wa kimaslahi. Fedha kutoka Tanapa/nssf ni mgongano mkubwa sana. Fikiri kidogo, ZZK anakagua vitabu vya Tanapa/nssf inakuta kuna matumizi ya ajabu ya milioni kadhaa anaambiwa mzee unakumbuka zile fedha za leka dutigite unafikiri atasema nini. Kila kitu kitakuwa ndio mzee. Its wrong in anyway.
zito ni mwanasiasa makini sana
usiwafundishe kazi mbulura wewe! Ameguswa gamba mwenzio aliye kwa mkopo act umeshikwa tumbo la kuhara? Wahi msalani ukapunguze
CHADEMA waache chuki binafsi za kumshambulia mtu kisa tu hataki kufuata mkumbo wao.
Siasa za kulipua bomu.
Jana ilikua Mdee na Tibaijuka. Leo Kovu na Zitto.
Kesho nani na nani?
"Failure to identify your enermy is a prior defeat"
Maskini sisi wapenzi wa mageuzi twende wapi?
We our Commanders shooting themselves in the legs. Gosh.
Hawa ni sehemu ya Dola!
Ukitaka ufahamu vizuri angalaia Mama yake Zitto Kabwe anavyohudumiwa na Dola ndani na nje ya nchi!!
Wakati mama Zitto Kabwe akiwa ICU taarifa hizo zimesitua watawala hadi kwenda haraka kwenda kumuona kuliko hata Vicky Kamata ambaye ni danguro lao!
Zitto Kabwe na Mama Zitto Kabwe ni sehemu ya watawala wa sasa hata Mungu akiamua utaona huko Kigoma
Utanikumbuka!!
Mkuu umebahatika kusoma utetezi wa Zitto? Kama ndivyo, mbona huu uzushi wa akina SUGU umeshararuliwa?Mkuu acha kunongona... Ongea kwa sauti usikike! Sugu amemwaga data, transaction moja baada ya nyingine...nyie mlidhani kuwa mnamkomoa Mbowe aliekopa kihalali tena amelipa riba kubwa utafikiri WB wanaikomoa nchi masikini ... Zitto hapa hatachomoa hata afanyeje?.. Napenda kazi za CDM huwa zinakuwa na utafiti wa kina sana ...
Adui yetu ni yeyote mwenye kuangamiza rasilimali za Tanzania kwa manufaa yake.
CHADEMA waache chuki binafsi za kumshambulia mtu kisa tu hataki kufuata mkumbo wao.
Acha kula unga we panya..Sugu ni mwehu
Mkuu umebahatika kusoma utetezi wa Zitto? Kama ndivyo, mbona huu uzushi wa akina SUGU umeshararuliwa?
Kambi ya upinzani hamuonei mtu haya, kama amevurundwa anapashwa, hii ndiyo tofauti ya CCM na upinzani, wakati ccm wanawatetea mafisadi upinzani hawafanyi hivyo, wanawasema tena hadharani mchana kweupe bila kujali ninani na ametokea wapiHapa ni kambi nzima ya upinzan sio chadema tu!
Kwakweli wamejishushia hadhi kabsaaa....
Zitto alihongwa pesa nyingi sana na usalama aimalize chadema,
Sasa anatuhumiwa kulamba fedha za Nssf na Tanapa.....ashitakiwe huyu, asiachwe hivihivi,
Mama yake anahudumiwa na madaktari bingwa....asijifanye yeye ndiye mganga wa mama yake kisa kaambiwa amefisadi mashirika ya umma. Mama yake tunamuombea sote kama mama yetu apate afya mapema,
Sugu ni mwehu