Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

Hata yale mapesa ya Zoka walisema atakuja kujibu lakini mpaka leo hajatia mguu.

kakimbia jamii forum hata kule ofisini kwake facebook 50% 50% ...................mambo magumu

maisha magumu wanaleta sera za kugwa kanga
 
yani wewe barubaru ni msomi wa phd kweli unakuja na hoja nyepesi na dhaifu namna hii?

poor Tanzania ndio nchi pekee duniani huwezi kutofautisha akili za wasomi na walioishia elimu za msingi.

mahaba haya yote kisa ni mwislamu anayedhini hadi uzeeni na kuoa hataki?

Mbona kub anazini husemi na yule Padri ndio kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
yani wewe barubaru ni msomi wa phd kweli unakuja na hoja nyepesi na dhaifu namna hii?

poor Tanzania ndio nchi pekee duniani huwezi kutofautisha akili za wasomi na walioishia elimu za msingi.

mahaba haya yote kisa ni mwislamu anayedhini hadi uzeeni na kuoa hataki?

kwi kwi................aaaaaah mimi sicheki
 
Tunataka na maelezo ya malipo ya NSSF yalikuwa ya nini? Ya tanapa tumeelezwa yalikuwa ya kupromote sadani, je ya NSSF yalikuwa ya nini?

eti izo pesa milion 79 ni kwa ajili ya kutengezneza hii video hapa kupromoti nssf,cha kushangaza ata wananchi hawaijui hii kitu sijui iyo promo ilifanyika wapi

 
Last edited by a moderator:
Siasa za kulipua bomu.
Jana ilikua Mdee na Tibaijuka. Leo Kovu na Zitto.
Kesho nani na nani?
"Failure to identify your enermy is a prior defeat"
Maskini sisi wapenzi wa mageuzi twende wapi?

We our Commanders shooting themselves in the legs. Gosh.
 
Lile sakata la Bw. Zitto kuhusu zile pesa za usalama wa taifa aliopokelea Ujerumani liliishia wapi. Nasikia mwenyekiti na katibu waliruka mita mia! Naona sugu amejichongea ngoja ajitokeze patakuwa hapatoshi
 
Ngoja muone zitto atavyo wamaliza hawa chadema. uzuri ni mtu makini na wataumbuka.
Hapa issue siyo kuwamaliza CHADEMA,hoja aje kukanusha hizo nondo za mh.Sugu. Nyie mnaomtetea zitto kila siku hapa jamvini mmeumizwa na mfumo wa kupiga dili ndiyo maana Taifa haliendelei
 
Sikuwahi kutegemea kama CHADEMA itafikia level siasa rahisi na za kitoto kiasi hiki.

Sitaki kuamini kama kweli haya yaliyosomwa na Sugu ndio maoni ya KAMBI RASMI YA UPINZANI inayowajumuisha wenyeviti wawili wa vyama vya siasa.

Ifiki kipindi kambi yenye watu makini hadi maprofesa ikaja na maoni mbadala ya kulikomboa taifa hili.
Kwa mwendo huu, upinzani kushika dola Tanzania, we have to wait another millennium.

wewe ni mjinga, kwanini nasema wewe ni mjinga kwasababu zifuatazo
  • unajadili vipi budget while mnategemea fetha za waisani wakati wengine wanaiba kwa faida zao wenyewe
  • unajadili vipi budgeti wakati wengine wanasamehewa kodi
  • unajadili vipi budget wakti serikali yako inategemea kodi za wafanyakazi
  • unajadili vipi budgeti wakti mikataba mibovu inasainiwa
  • unajali vipi budgeti wakti mashirika ya umma yanaujumiwa
  • unajadili vipi budget wakati wezi wanatembea mtaani
in budget we need to know in detail the cash in flow and out flow of ya budget iliyopita na ijayo and this is part of it.............ongera mbunge wangu

mbaya zaidi inflow ndogo na ni ya msaada and outflow ni kubwa na nyingi ni ya wizi
 
endelea kuota ndoto za saa tisa mchana na utabiri wako mufilisi, lakin nilishakuambia uwaeleze hao waliokutuma hiki unachokifanya hapa kuwa siku baba zao wametoka hapo, tutakata m.a.p.u.m.b.u baada ya kujibu kwa nini walikuwa wanafanya money laundering! kumbuka hili kila siku pse, wewe huna kosa njaa inakusumbua.
cc: Ben Saanane , Ruttashobolwa .
 
Last edited by a moderator:
Sishangai kesho tutasikia wizi wa mbowe na slaa wacha wafu wazikane
 
Mkuu sio 2015 tu. CHADEMA hawatakaa waupate urais wa nchi hii milele na milele.

Uelewa wako mdogo ndio huo umekusababishia usiweze kuona mbali wewe na wenzio mnaolingana kufikiri na kujiaminisha kwamba Ccm itaendelea kuwepo kwakuwa kibaraka wenu ametajwa kwenye ufisadi.Eti milele!.Subirini huku mkijiamini mkidhani sie wote tuna akiri kama zenu!
 
2012,2013,-bajeti mbili zimepita,natafakari why madudu haya yaibuke leo,au ndo enzi zile ni "mwenzetu " unachapa kimya,leo sii mwenzetu ,tunamwaga mboga,!!!???bongo politiki bhana.
 
Nilipopaza sauti na kusema Zitto sio muadilifu, nilionekana nina chuki nae,

Heri kuwa na chuki nae kuliko kuwa mnafiki.
 
Hiki chama kimejidhihirisha kwamba ni ovyo chenye watu ovyo wasio na busara.washambenga.hakistahili hata kuongoza vichaa.leo ndio nimekitoa maana kabisa heri kife kabisa.kwa nama hii upinzani utasubiri karne moja zaidi.chama gani kinapalililia majungu ya kijinga.
akili yako iko sawa wewe!
 
Mbona wanao mtetea zitto humu ni ccm die hards!? Yaani wabongo wengine mnashangaza sana.
Unamtetea fisadi kwa nguvu zote,Kisa uipendi chadema,jamani let's think beyond our noses.huyu MTU anapiga hella tena
pesa za umma alafu mpuuzi mmoja anakuja hapa kumtetea,kwani yy ni nani asilipuliwe kama anafanya deals za wizi.?
Mbona yy anawalipua wenzake? Hongera sana mh sugu,drama ndio imeanza
 
Back
Top Bottom