Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,948
Elimu sio kipimo cha uongozi,You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Siku hizi kahamia kushawishi wasanii wajiunge chadema sijui ndiyo kazi iliyompeleka bungeni.Mzee wa Ant-virus Hana chake Mbeya maneno mengi na kuwashambulia clouds
mmmh hivi sisi tulio ishia Form 4 ndo hatuna lolote kweli!!!You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Daima dalili ya mvua ni mawingu kweli mkuu huyu jamaa hatoki tena.Sugu Hana chake Mbeya......kila mtu anajua Hilo na hata mwenyewe analifahamu Hilo....alichoweza kufanya katika miaka miwili na nusu ni kuwananga Clouds na kusambaza album yake ya Ant-virus
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
You can't expect more from him. He's Form 4 leaver.
Jamaa jembe huyo,wala huwezi Tia mguu hapo.ila kwa sababu tu democracy tumbukia tu utimize ndoto yako kuwa na ww uligombea
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
na kama alikuwahajui kama mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa maccm 50 mfano kichwa kimoja cha mh chiku abwao ni sawa na akina lukuvi50.
Waso0mi wengi wanaojiita wasomi na kudharau wasiosoma kama wao wengi maisha yao hovyo tu.It's not a matter of education! What matters are his contribution to the society which enacted him to be an MP! We have people in our society that are highly educated. But what they practice in return to what they have been taught, is worse comparing to what a simple and mere person can do!
I think his presence in USA was basically aimed at expanding his music career and hunting for dollars! But let him here your comment and take it as a challenge and at the same time try to sing songs carrying problem messages from Mbeya City in the Parliament.
Ulichonesa ni kweli elimu ya Tanzania ni kwenye nadaftari tu hakuna kitu kichwani ndo maana wasomi wameliingiza taifa ili kwenye mkenye wa EPA, RICHMOND etc utakuta mtu analinga na kadegree weeeeeee wakati hana hata hamsini mfukoni nina maanina wasomi wetu pumba tu wanashidwa kutatua changamoto zinazowazunguka sembuse kuongoza watu.............Waso0mi wengi wanaojiita wasomi na kudharau wasiosoma kama wao wengi maisha yao hovyo tu.
Bill gates kilaza lakini kaajiri wasomi lukuki
MIMI CCM LAKINI SIJAPENDA WATU WANAVYOMNANGA SUGU KWA SABABU SIO MSOMI
Mbona hata ccm tuna wabunge wengi tu wasioenda shule? hebu niwaulize mnamfgahamu ALLY KESSY wa nkansi?
Mimi namfahamu na najua mzee hata la saba hakufika ila ana kipaji cha hali ya juu kwenye biashara
Muda mwingine watu tunapenda kuleta siasa za kujiga sana JF mpaka inapoteza mvuto sasa. Mie ni mwanambeya na nimefuatilia sana uongozi wa wabunge wa mbeya nikimaanisha Benson Mpeslya aliyekaa miaka kumi na kuongea mara mbili tu bungeni. Kusema sugu achangii bungeni ni kuto mtendea haki nasema hivi kwa sababu.Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza na ya msingi kuhusu wapiga kura wake.
Ivi Mbeya mjini hamna matatizo ya maji, barabara , shule na clinic kweli?
Anadhani alichaguliwa kwa ajili ya kuongelea hati miliki za wasanii?
Muda mwingine watu tunapenda kuleta siasa za kujiga sana JF mpaka inapoteza mvuto sasa. Mie ni mwanambeya na nimefuatilia sana uongozi wa wabunge wa mbeya nikimaanisha Benson Mpeslya aliyekaa miaka kumi na kuongea mara mbili tu bungeni. Kusema sugu achangii bungeni ni kuto mtendea haki nasema hivi kwa sababu.So jimboni kwake raia wote ni wasanii?
Waso0mi wengi wanaojiita wasomi na kudharau wasiosoma kama wao wengi maisha yao hovyo tu.
Bill gates kilaza lakini kaajiri wasomi lukuki
MIMI CCM LAKINI SIJAPENDA WATU WANAVYOMNANGA SUGU KWA SABABU SIO MSOMI
Mbona hata ccm tuna wabunge wengi tu wasioenda shule? hebu niwaulize mnamfgahamu ALLY KESSY wa nkansi?
Mimi namfahamu na najua mzee hata la saba hakufika ila ana kipaji cha hali ya juu kwenye biashara