- Thread starter
- #41
Mkuu sitaki kulipiza kisasi wala kushindana nae ila nimekaa nikajiuliza ni wangapi wameathirika na wataendelea kuathirika na mtandao huu mbaya?na je utaendelea mpaka lini?Dah pole sana ndugu kwa kufungiwa njia, usijali kwa hilo Mungu atakufungulia kwa njia nyingine ila usijaibu kulipiza kisasi au kutaka kushindana na mtu kama huyo maana unaweza kujikuta matatani bure, kuwa mwangalifu na jipange upya kamwe hawezi kuziba milango yote.