Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,247
- 90,430
Hahahaha mie nadhani zilikua zinaongeza uzalendo labda ni vile ilikua inagusa story za idara ukizingatia kipindi kile cha ukomboziSana. Hasa ile issue ya almasi za mwadui ni noma sana. Watu walizipenda mno ndio maana Nyerere akaona hawa jamaa watajifunza haya mambo iwe shida, akazipiga marufuku eti zinafundisha ujambazi kumbe hata yeye alikuwa anazisoma
Kweli kabisa.Hahahaha mie nadhani zilikua zinaongeza uzalendo labda ni vile ilikua inagusa story za idara ukizingatia kipindi kile cha ukombozi
Kwangu mimi, The Best ni "KIKOSI CHA KISASI!"Njama ,kikosi cha kisasi, kikomo
Kwangu mimi, The Best ni "KIKOSI CHA KISASI!"
Zile harakati za Kinshasa, acha kabisa!
Njama, siasa nyiiiiiingiiii!
Sawa sawa mkuuUkipata wasaa leta uzi tuichambue
Ya kitabu kipi unataka?Soft copy hazipatikani wakuu??
Bado Mmoja ya D. Sangija. Mchapishaji alikuwa ni Ndanda Mission Press. Nitawasiliana nao hawa kuona kama wanaweza kunisaidia kukipata.Kipi?
Kama uko dar pale maktaba kuu kwenye zile kompyuta unaweza ukasearch jina la kitabu kisha itakuleta mkoa ambao hicho kitabu utakikuta.Nitajaribu kufanya hivyo mkuu. Ila kukipata hicho kitabu ni kimbembe.
Ahsante sana. Nitafanya hivyo.Kama uko dar pale maktaba kuu kwenye zile kompyuta unaweza ukasearch jina la kitabu kisha itakuleta mkoa ambao hicho kitabu utakikuta.
Naamini maktaba ina hazina kubwa sana ya hivyo vitabu vya zamani maana mimi ilikuwa kila nikipata fursa ya kutembelea mikoa mbalimbali basi huwa na tembelea hizo maktaba hivyo nimefaidika sana kusoma vitabu vingi vya zamani.
Jamaa alikuwa nomaMpaka sasa namuona willy gamba anaongoza
Mkuu unaweza kunisambazia upendo wa hizi copy.
Chase hajawahi kuwa na riwaya za state sponsored espionage kama Njama. Ambazo zilikuwa typical Musiba style.Aliyeandika watoto wa mama ntilie alitisha sana. Wanadai hao kina gamba et al walikuwa wana copy iriwaya za kizungu za kina chase na kuzileta kwa kiswahili japo siamini hili.