Yote kwa yote hata mungu alipowaongoza wanadamu hawakuridhika wakaomba wateuliwe mfalme miongoni mwao hivyo ckulazimishi ukiri mbowe ni kiongozi wa kupigiwa mfano ila shibuda kimemtoa nini huko alipokuwa na kwa nini hakwenda kwenye democrasia ya kweli tlp udp cuf au nccr kama c aliangalia chama cha upinzani kilicho makini na chenye nguvu sasa anafikiri/anapata hayo yalifikiwa kwa uongozi legelege
teh teh teh, yaani unamuhusisha mungu sasa!!? Huu sio mjadala wa mambo ya dini lakini sasa wewe unamfananisha Mbowe na Mungu khaa!!
Chama sio cha Mbowe kama unavyoona wewe, huo ndio mtazamo wa madikteta, chama ni cha wananchi kwa hiyo ata Mbowe akikosea tutamkosoa tu!!