zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,935
Haya ya udikteta wa Mbowe niliyasema zamani sana na kila siku huwa nawauliza, what do you expect from a night club don? Umafia tu.
Huyu Mbowe hana cv ya uongozi wa aina yoyote. Kama ni disko, kalirithi hajalianzisha yeye. Hajawahi kuwa Monitor wala Prefect shuleni. Basi, kwa ajili ya vipesa vya umafia wa night club ndio manmuona kiongozi? Ama kweli, wajinga ndio waliwao.