PostGE2025 Mnyika: Barua ya Msajili ni Hila za Kuizuia CHADEMA, Tuendelee na Ajenda ya Katiba Mpya! Free Lissu! Mpaka kieleweke!

PostGE2025 Mnyika: Barua ya Msajili ni Hila za Kuizuia CHADEMA, Tuendelee na Ajenda ya Katiba Mpya! Free Lissu! Mpaka kieleweke!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,935
Reaction score
16,584
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Mei 16, 2026 akiwa Katoro amesema;

"Niseme mambo machache mawili tu. Moja, niseme ni kweli tumeandikiwa barua hiyo na msajili wa vyama. Ni mwendelezo wa hila za kutaka kuizuia Chadema kuendelea kuwaunganisha Watanzania katika madai ya msingi. Hila hizo hazimhusu aliyesaini barua pekee yake, Sisty Nyahoza, zinamhusu msajili Mutungi ambaye umri wake wa kustaafu ulishapita muda mrefu lakini anawekewa pale ili kutumika tu kufanya hayo. Zinamhusu Waziri Mkuu...

...kutufanya tuache kujadili ripoti ya CAG na wauaji, tuache kujadili walioiba uchaguzi, tuanze kujitetea; 'tutafungiwa, hatutafungiwa', 'tutazuiwa, hatutazuiwa'. Hatutaingia mtego huo! Tuendelee na ajenda ya Katiba Mpya! Free Tundu Lissu! Katiba Mpya! Free Tundu Lissu! Mpaka kieleweke!

 
Msajil gani huyo wa vyama vya siasa anayetekeleza majukumu yake kwa maelekezo kutoka juu!
 
Back
Top Bottom