John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

Huyu nae vipi anafikiria urais ni kubomoa majumba n kuweka lami alishatuuzia nyumba zote za serikali inatosha asijekuuza nchi bure[/QUOTE
hahahahahahahahahhahaha hata mkisemaje huyu jamaaa anakubalika...............he is the right choice
 
Alaa!! lakini...tuache utani tena bwana Magufuri hana sifa za kuwa raisi...anafaa kuwa project meneja tu!

kwa mtu anaye kufahamu wewe huwezi kuunga mkono mgombea wa ccm hata kama nyerere angerudi,ulishalishwa matango poli na slaa huelewi hata chembe lakini wakati ukifika utamkubari tu magufuli.
 
Waziri wa ujenzi bwana John Pombe Magufuli kaamua kuaanika wazi kuwa sasa anautamani urais wa Tanzania.

Kasema hayo huku akitanabaisha kuwa iwapo atakidhi vigezo vya katiba mpya.

Source: Nipashe
Naye ajiandae kupewa Sumu kama wenzake. Maana kuna watu wako tayari kuua ili wasipate upinzani. Ushauri wa bure aende kwa Sitta amwambie siri za kukwepa huo -----.
 
Huyo nae kwani kaachwa katika suala hili rafikie alikuwamhadhiri pale Open university Bwana Josephat Sanda alifanywa nini na rafikie huyu.


Anakubalika sana huyu, sio watu watu wa ajabu ajabu hao wengine wenye mikashfa mpaka ya kupora wake za watu
 
Naye ajiandae kupewa Sumu kama wenzake. Maana kuna watu wako tayari kuua ili wasipate upinzani. Ushauri wa bure aende kwa Sitta amwambie siri za kukwepa huo -----.

hili nalo neno mkuu atalipata na atachukua tahadhari.
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!

Acha fikra mbovu na finyu... Nani kakwambia uraisi unasomewa??? Mtu yeyote na mwenye akili timamu, elimu ya kutosha anaweza kuwa rais we f@l@...
 
nani unafikiria kuwa anafaa kuwa rais kwa maoni yako??????????????????????

We ndo useme sasa! Huyu Kimeo bana! hana kitu cha maana....hatutak kufanya makosa tena...hata hivyo CCM unayeweza kumuamini ni yule aliekufa!
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!

Kumbe hata humfahamu John Pombe Magufuli unamrukia tu. Huyu si injinia wewe au anakuchanganya na mambo ya mabarabara.
 
hongera watakatifu.
akili zilizoganda wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.

ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu.

Nadhani unahitaji kujifunza namna ya kuishi na watu wenye mitazamo ya hovyo, na ile mizuri pia. Unatakiwa kujifunza namna ya kumeza machungu. Sidhani kama ni sahihi kwako kufanana na yule first lady wa Kenya (Lucy Kibaki.
Inawezekana kabisa kuna watu humu wana maudhi, lakini namna ya ku deal nao ni changamoto unayohitaji kuikabili. Jibu lako kwa kila maudhi yanayoelkezwa kwako linapaswa kumjenga yule anayekushambulia, sioni usahihi wa kukimbizana mitaani na mtu aliyekwapua nguo zako wakati unaoga......wanaweza wa kaingilia ili kumuokoa huyo unayemkimbiza wakidhani wewe ndiye mwenye matatizo na unataka kumdhuru.

Angalia nafasi yako, every move you make, either itajenga au kubomoa umoja.
Lastly, any advise is an option, you can take or drop it.
 
Waziri wa ujenzi bwana John Pombe Magufuli kaamua kuaanika wazi kuwa sasa anautamani urais wa Tanzania.

Kasema hayo huku akitanabaisha kuwa iwapo atakidhi vigezo vya katiba mpya.

Source: Nipashe
mkuu ungeipandisha hiyo taarifa kamili jinsi ilivyo kwenye gazeti ili tupate ndani wa hiyo kauli. so far magufuli hana mpinzani hadi sasa kama atautaka kweli
 
Wakimpitisha magufuri, Kura yangu atapata. Haitaji kujiuza kwa maneno bali kazi zake alizokwishazitenda
 
Mbona Mhe.Samwel Sitta aliposema katika kambi ya wanaoutaka urais naye yumo hivyo watamchagua mmoja wao katika kundi hilo alikataa na kusema hakuwa hata na ndoto ya Urais? Kiongozi mnafiki na anayeamua mambo kwa kushawishiwa hawezi kupata kura yangu kwani bila maono huwezi kuongoza taifa. Tamaa gani ya urais ambayo haikuwepo mwezi uliopita lakini sasa anayo?

Makala Jr, sio lazima usipoota leo kesho huwezi kuota. Aliposema hakuwa na ndoto ya Urais si kwamba hawezi kuiota. Mambo hubadilika na hata wewe usichokipenda leo kesho unaweza kukipenda, inategemea tu ni ushawishi gani umeupata na pia mabadiliko ya wakati mzee. Tusiwe na mawazo mgando bana....
 
Back
Top Bottom