John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

Mtu huyu si mvivu. Kwa uchapakazi anaweza kuwa rais mzuri wa taifa letu. Lakini chama chake kimeishiwa hoja hivyo hawatampa nafasi. Namshauri agombee kama mgombea binafsi au ajiunge na chama chenye fikra na mawazo mapya sio CCM.
 
aturudishie kwanza nyumba za serikali waliojiuzia.
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!

huyu ni mkemia,anatakiwa akapime bidhaa feki za mchinana dna za watoto maana wanandoa wanabambikiana sana watoto nowday
 
hakuna atakayeweza kuzuia presha ya magufuli kama atagombea watu wanaimani naye sana.
 
Hafai kabisa, akichaguliwa nahama nchi
 
Nchi inataka rais aina ya magufuli kwa sasa,dikteta halafu mtendaji,huyu kwa Tanzania ya sasa anafaa sana aje kurudisha nchi kwenye mstari,wasiwasi wangu jeshi litampindua tu,kwa sababu jeshini kuna ufisadi kiwango cha kutisha
 
Tanzania bwana,hata msimamizi wa ulanguzi wa nyumba za serikali anatamani kuwa rais!!!
 
Huyu jamaa wala siyo injinia ila ni mkemia phd yake kafanyia kwenye magamba ya korosho yanavyoweza kuzalisha Umeme ndio maana hata yeye ni gamba[/QUOTE]

ha ha ha haa,a haaa, dah, nimechekajeeee!???
 
CCM hawampi!! maana atawageuka!! na kuwabomoa kama barabara.
na afadhali iwe hivyo maaana akipendekzwa na ccm atapunguza kura za slaa
 
Back
Top Bottom