John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

Hana sifa nadhani anatingisha kiberiti tu.Kwanza kumbukeni hakuna mwenye sifa ya urais toka CCM wote ni unafiki na kutafuta deal za kuwanyonya tu watanzania
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!

To be realistic, huyu anakurupuka katika maamuzi! Anakuwa driven na hisia na si reasoning! Dikteita mkubwa hafai! Anatoa maamuzi kwenye jukwaa watu wamsikie. Sawa na Mrema enzi zake. Kweli nchi hii na vichaa wa siasa!
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
Unamaanisha kuwa injinia hawezi kuwa Rais??????????????? hata kama ana Vigezo????????? Poor thinking
 
Magufuli (na wengine wachache CCM) anaweza kua Rais mzuri pale tu atakapopitishwa kwa kura za wanaCCM wengi bila ya kushikwa mkono na kakikundi cha watu fulani fulani au kupata huruma ya M/kiti...hapo atakua na "wide mandate" ya "kufanya" yale ambayo Magufuli tumezoea anafanya...otherwise Marais wote wa CCM watategemea a combination ya Dhaifu pamoja na kikundi fulani kitakachomfanya Rais ajaye wa CCM awe dhaifu mwingine (labda atokee kichaa atakayepiga sarakasi na kuwageuka wote waliomuweka kwenye kiti)....
 
Huyo jamaa ni mpenda sifa ,fisadi , na mtu wa visasi sana. Akipitishwa itakuwa ni N'goa Janga wekw Janga.
Unaweza ukatoa ushahidi kuwa ni mpenda sifa, fisadi na mtu wa visasi sana????????????????????????????????????? come up with a fact and source please
 
Magufuli (na wengine wachache CCM) anaweza kua Rais mzuri pale tu atakapopitishwa kwa kura za wanaCCM wengi bila ya kushikwa mkono na kakikundi cha watu fulani fulani au kupata huruma ya M/kiti...hapo atakua na "wide mandate" ya "kufanya" yale ambayo Magufuli tumezoea anafanya...otherwise Marais wote wa CCM watategemea a combination ya Dhaifu pamoja na kikundi fulani kitakachomfanya Rais ajaye wa CCM awe dhaifu mwingine (labda atokee kichaa atakayepiga sarakasi na kuwageuka wote waliomuweka kwenye kiti)....
Big up sana......tunataka watu wenye reasoning kama yako mkuu.......upo sahihi sana
 
Magufuli ni jembe,CCM wakimteua huyu watapata kazi rahisi sana kwenye uchaguzi wa 2015..

Kwa uwezo wa utendaji kazi,hakuna mwanasiasa yeyote hapa nchini anayemzidi Magufuli kwenye hilo, akiteuliwa huyu kura yangu anayo...

...ishu siyo mtu, ila mfumo wa chama chake ndo hovyo sana, wapo kimaslahi zaidi,wamepoteza ladha ya uzalendo na mzigo wa kuwa kwamua watu kwenye umasikini...
 
Back
Top Bottom