John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

hongera watakatifu.
akili zilizoganda wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.

ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu.

Eti huyu ndio anataka kuwa first lady? Labda wa vyura. Kwa taarifa yako babu hawezi kuwa rais. Kama ulimkimbia mumeo kwaajili ya u first lady umebugi meen. We kamwombe mumeo wazamani msamaha tu urudiane nae maana aibu inakunyemelea.
 
Kiukweli namkubali Magufuli, najua nikimpigia kura, kura yangu haitapotea bure, all the best Mkuu. All in all Mungu ndiye anajua ni nani atakuwa Rais wa nchi hii, so wote tuombe ili Mungu atuchagulie Rais atakayetuongoza
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!

huyu jamaa sio injinia, jamaa alisoma chemistry udsm
 
i will vote for ccm if magufuli or membe gonna b a candidate
 
He have my vote.. Mie mpaka sasa Mtu hajaniconvice sana Kuhusu Dr Slaa, Magufuli, Tundu Lisu, Lema , Msigwa n. k Haya ni majembe ya Nguvu mno. Hawa jamaa wamefanya Kazi hasa zinazoonekana SIO porojo. Ingawa magufuli amefunikwa sana Na harufu mbaya Kwenye hicho Chama. Kakubali kupakwa kinyesi mijitu itambae juu yake but the guy kafanya vitu vilivyohatarisha life lake he deserve nafasi.

Ila Kwa sasa tunapoelekea ukombozi wa Taifa Hilo ni vema akafikiria UPYA kujitoa Kwenye gunia la mavi ajiunge Na wapambanaji wa kweli ataupata uwaziri mkuu lau aendeleze Kazi zake Kwa akili SIO sasa unapotengeneza barabara cost billion of shillings inapita Kwenye Nyumba Za wakazi wasio Hata Na baskeli
 
alichoshindwa kuelewa Makufuli ni kwamba kwa ccm anaetakiwa kugombea urais wa nchi hii ni lazima atoke Zanzibar vinginevyo ccm itakufa kabla ya uchaguzi kufanyika

kwanini asitoke tabora au lindi
 
Magufuli ni jembe,CCM wakimteua huyu watapata kazi rahisi sana kwenye uchaguzi wa 2015..

Kwa uwezo wa utendaji kazi,hakuna mwanasiasa yeyote hapa nchini anayemzidi Magufuli kwenye hilo, akiteuliwa huyu kura yangu anayo...
tatizo ni mfumo ndani ya ccm, hata apewe nani huo urais ni kazi kubwa kubadilisha mfumo huo wa kifisadi. kitu. cha msingi hapa kwa watanzania ni kuumaliza mfumo huu wa kisultani.

 
Mwisho wa siku tunaapasw kupiga kura kwa mtu sahihi mwenye maadili ya kazi na kua tayari kulitumikia taarifa kwa weledi wa hali ya juu.

Ni haki yake kutangaza nia mapema. Mchambueni akija huku atajichunguza na baadaye atajipima mwenyewe. GAMBA NI GAMBA always.
 
Waziri wa ujenzi bwana John Pombe Magufuli kaamua kuaanika wazi kuwa sasa anautamani urais wa Tanzania.

Kasema hayo huku akitanabaisha kuwa iwapo atakidhi vigezo vya katiba mpya.

Source: Nipashe

Ukikaa na UA WARIDI LAZIMA NA WEWE UNUKIE HARUFU YA UA WARIDI.
 
i will vote for ccm if magufuli or membe gonna b a candidate

Mkuu hiyo kwenye nyekundu usithubutu. Habari nilizonazo kuhusu Membe hafai kuwa rais hata kidogo. Siipendi CCM ila ina mawaziri wachache ambao wameonyesha kuthubutu na kazi zao ni za manufaa kwa taifa. Mfano Magufuli, Prof. Muhongo na Mwakyembe.
 
Ni upumbavuu mkubwa kukaa kumfikiria mwanaCCM kuja kuwa rais wa Tanzania tena.
 
Anafaa.... kura yangu ataipata... though 2015 ni zamu ya MEMBE
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!

Huyu si injinia ni mwanasayansi. Raisi anaweza kuwa mtu yeyote mradi Mungu amempa karama hiyo na ataifanya kazi hiyo vizuri sana. wale wanaokengeuka huwa nchi zao zinapata matatizo makubwa kama kuyumba kwa uchumi, vita, njaa, magonjwa nk.
 
Huyu jamaa wala siyo injinia ila ni mkemia phd yake kafanyia kwenye magamba ya korosho yanavyoweza kuzalisha Umeme ndio maana hata yeye ni gamba

kwa taarifa yako phd hajachukulia huko unakotaja, kachukulia udsm-collage ya CoNAs.
 
Mbona Mhe.Samwel Sitta aliposema katika kambi ya wanaoutaka urais naye yumo hivyo watamchagua mmoja wao katika kundi hilo alikataa na kusema hakuwa hata na ndoto ya Urais? Kiongozi mnafiki na anayeamua mambo kwa kushawishiwa hawezi kupata kura yangu kwani bila maono huwezi kuongoza taifa. Tamaa gani ya urais ambayo haikuwepo mwezi uliopita lakini sasa anayo?
 
Back
Top Bottom