John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

Waziri wa ujenzi bwana John Pombe Magufuli kaamua kuaanika wazi kuwa sasa anautamani urais wa Tanzania.

Kasema hayo huku akitanabaisha kuwa iwapo atakidhi vigezo vya katiba mpya.

Source: Nipashe
alichoshindwa kuelewa Makufuli ni kwamba kwa ccm anaetakiwa kugombea urais wa nchi hii ni lazima atoke Zanzibar vinginevyo ccm itakufa kabla ya uchaguzi kufanyika
 
Huyu jamaa wala siyo injinia ila ni mkemia phd yake kafanyia kwenye magamba ya korosho yanavyoweza kuzalisha Umeme ndio maana hata yeye ni gamba

......Ni Mafuta yanayobaki kwenye magamba ya Korosho yanavyoweza kutumika kutengeneza Chemical za kuulia wadudu waharibio mazao mashambani, ameifanyia PHD yake huko South Africa.
 
Labda mgombea binafsi, ccmpolc inawenyewe, lkn Magufuli mnamjua vizuri au ni ushabiki usio na maana, watanzania ndo maana huwatunajuta baada ya kumchagua mtu imepita kama miaka 2 coz huwa hatuna utamaduni wakufanya critical analysis kwa wanaotangaza nia bali tunatawaliwa na ushabiki! Kwann tusiige kutoka hata mataifa mengine? We poor Tanzanians why this?
 
Jembe la kazi,sasa ni ulimwengu wa wanasayansi,baba mtakatifu frances wa kanisa katoriki ni mkemia,ni furaha mkemia mwingine kuhisiwa urais tanzania .-na mapungufu yake kama mwanadamu yeyote ,but kwa huyu jpm,ntapanga foleni kupiga kura yangu.
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
we umeona uinjinia ndo kigezo cha kumtoa mtu kwenye wadhifa wa uraisi? kwani katiba imesemaje kuhusu hili? je ni kweli mtu alie soma sheria anafaa kuwa raisi kuliko aliyesoma sayansi?
 
Anakubalika sana huyu, sio watu watu wa ajabu ajabu hao wengine wenye mikashfa mpaka ya kupora wake za watu

hongera watakatifu.
akili zilizoganda wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.

ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu.
 
all in all we need the kind of magufuli people......najua wapo watakao pinga kwa sababu zao binafsi. ila he is the right candidate for the people who think in positive end of spectrum of development
 
Labda mgombea binafsi, ccmpolc inawenyewe, lkn Magufuli mnamjua vizuri au ni ushabiki usio na maana, watanzania ndo maana huwatunajuta baada ya kumchagua mtu imepita kama miaka 2 coz huwa hatuna utamaduni wakufanya critical analysis kwa wanaotangaza nia bali tunatawaliwa na ushabiki! Kwann tusiige kutoka hata mataifa mengine? We poor Tanzanians why this?

Tuige wapi sasa?hata kwa obama tayari wapo wamarekani wengi tu wanasema walibugi step kumchagua,huwezi ukaridhisha kila mtu,na hatutegemei kuchagua malaika ili awe rais,na kila binadamu ako na mapungufu yake.X
 
Sasa si aende kumalizia kazi maabara akamlizie kazi na atuletee ili tutumie au ukishapata hiyo Phd unafunga kitabu na kubadilisha title basi?
......Ni Mafuta yanayobaki kwenye magamba ya Korosho yanavyoweza kutumika kutengeneza Chemical za kuulia wadudu waharibio mazao mashambani, ameifanyia PHD yake huko South Africa.
 
hongera watakatifu.
akili zilizoganda wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.

ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu.

kwahiyo unataka kuwafunga watu midomo?WHO DO YOU THINK YOU ARE?
Wewe una ubavu wa kuzuia watu wasitoe maoni yao?you should watch your mouth instead of trying to dictate how others should do with their mouths.
 
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!

Kweli Jf iboreshe usajiri wake kwakweli maana vilaza wamekuwa wengi sana humu. Kwani Urais unahitaji taaluma gani?
 
Mtakao mpa kura ni nyie mnaomsikia kwenye vyombo vya habari ila sie tuliompa kura za ubunge tunajutia hata kwa hilo, ndo maana anatamani urais maana anajua hawezi kuupata ubunge tena chato. Pole sana Magufuli huku jimboni hata udiwani hupati.
 
Hana sifa nadhani anatingisha kiberiti tu.Kwanza kumbukeni hakuna mwenye sifa ya urais toka CCM wote ni unafiki na kutafuta deal za kuwanyonya tu watanzania

Mkuu,nikukumbushe tu hata unaowatalajia watapiga deal tu!

Nchi kama China Wapo mbali lkn still viongozi wapigaji tofauti ni ndogo tu wanapiga na nchi inasonga kwa pace Kali.

Wapige lkn tuongee mbele.
 
Back
Top Bottom