Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Hamuwezi kuwa marasi bana!....tunafahamu vema...mko very "mechanical"!!
bora ya enjinia kuliko padri
Hamuwezi kuwa marasi bana!....tunafahamu vema...mko very "mechanical"!!
Akiwa waziri tu aliuza nyumba za serikali. Tukimpa uraisi si atauza hadi nyumba zetu?!!!!
hahahahahhahahahahahahahah.....................lakini ana sifa za kugombea uraisHuyu jamaa ni mnafiki sana kutwa ni kumsifia vasco da gama kuwa safari zake ndio zinaleta misaada Kumbe ni hasara kubwa
hizi ndo tunaitaga steriotype...mwisho mtakuja na "toka lini mhaya akawa raisi".
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
Waziri wa ujenzi bwana John Pombe Magufuli kaamua kuaanika wazi kuwa sasa anautamani urais wa Tanzania.
Kasema hayo huku akitanabaisha kuwa iwapo atakidhi vigezo vya katiba mpya.
Source: Nipashe
Unamaanisha kuwa injinia hawezi kuwa Rais??????????????? hata kama ana Vigezo????????? Poor thinking
hahahahahahahahahahah............................ kwakweli hapa ni patamu sana..................kwani mwenye macho haambiwi tazama...........................magufuli ana support kubwa kwa jamii......hasa nawaotaka maendeleo tanzania........kamaHuyu jamaa wala siyo injinia ila ni mkemia phd yake kafanyia kwenye magamba ya korosho yanavyoweza kuzalisha Umeme ndio maana hata yeye ni gamba
Magufuli hana sifa za kuwa rasi mzuri bana! ....
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
Hafai kuwa raisi sababu ni mnafiki kupindukia
nani unafikiria kuwa anafaa kuwa rais kwa maoni yako??????????????????????Magufuli hana sifa za kuwa rasi mzuri bana! ....
unaweza ukasibitisha mkuuNa aliuza nyumba zetu (za serikali) mojawapo kwa 'small house' wake.
wewe kwa mawazo yako nani anafaaa sasa????????????????????????????????????Huyu hafai hata kwa bure, waulize wakaazi w kigamboni "kama huna nauri ogelea vuka", angekuwa enzi za mwalimu sawa lakini sio wa kizazi hiki cha dot com!