Mahebe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 319
- 64
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
Hivi Magufuli ni injinia?
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
kwa mtu anaye kufahamu wewe huwezi kuunga mkono mgombea wa ccm hata kama nyerere angerudi,ulishalishwa matango poli na slaa huelewi hata chembe lakini wakati ukifika utamkubari tu magufuli.
watakupinga, watakupinga na watakupinga lakini hapo kwenye red ndio sahihiAlaa!! lakini...tuache utani tena bwana Magufuri hana sifa za kuwa raisi...anafaa kuwa project meneja tu!
watakupinga, watakupinga na watakupinga lakini hapo kwenye red ndio sahihi
Huyu jamaa ni mnafiki sana kutwa ni kumsifia vasco da gama kuwa safari zake ndio zinaleta misaada Kumbe ni hasara kubwa
Anakubalika sana huyu, sio watu watu wa ajabu ajabu hao wengine wenye mikashfa mpaka ya kupora wake za watu
Aturudishie kwanza nyumba za serikali alizouziana na 'wakweli na wachapa-kazi' wenzake kwa bei ya jioni/
Kweli nyerere akirudi ntamkataa!! CCM hakuna mtu mwenye sifa bana wote wasanii na mafisadi wakubwa!
Aturudishie kwanza nyumba za serikali alizouziana na 'wakweli na wachapa-kazi' wenzake kwa bei ya jioni/
CCM hawawezi kumteua huyu apeperushe bendera ya urais maana atawafunga wote waliofanya ubadhilifu. Wanachofanya ni kumwekam2 atakayelinda mfumo wa kifisadi, wanataka m2 subjective sio objective kama Magufuli.
Huyu jamaa wala siyo injinia ila ni mkemia phd yake kafanyia kwenye magamba ya korosho yanavyoweza kuzalisha Umeme ndio maana hata yeye ni gamba
Magufuli ni jembe,CCM wakimteua huyu watapata kazi rahisi sana kwenye uchaguzi wa 2015..
Kwa uwezo wa utendaji kazi,hakuna mwanasiasa yeyote hapa nchini anayemzidi Magufuli kwenye hilo, akiteuliwa huyu kura yangu anayo...
hongera watakatifu.
akili zilizoganda wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.
ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu.
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
hongera watakatifu.
akili zilizoganda wapumbavu msiojua kesho yenu.
subirini,mtaisoma number msifikiri uwoga huu wa watanzania utadumu milele.
ameiba wake za watu,unaumia nini,amemuiba mama yako?
wewe ni wakili wake?stupid mind.
vinywa vyenu like public toilet,jifunzeni kuweka akiba ya maneno,kesho itawagharimu.
na huyo mzee wako unayetaka awe rais kamwe hataupata taifa hili haliwezi kuongozwa na kibaraka wakati tunatafuta uhuru yeye yupo na wamision.