Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,282
Mihambo sounds familiar mkuu. Ulisomea wapi sekondari?Mmh, kuna watu mnajua kubashiri mambo yajayo aisee!
Mihambo sounds familiar mkuu. Ulisomea wapi sekondari?Mmh, kuna watu mnajua kubashiri mambo yajayo aisee!
mbona unashangaa sana?Aisee!
undefinednamba nazisoma vizuri sana kwakweliHah hah hah hah hivi Elungata upon?undefinedNa wewe unaisoma namba?
Duh!Hadi wewe unasoma namba?Basi kweli hii ngoma ngumu!😀undefinednamba nazisoma vizuri sana kwakweli
Hawakusikia mawazo yako kazi kwaoCCM hawawezi kumteua huyu apeperushe bendera ya urais maana atawafunga wote waliofanya ubadhilifu. Wanachofanya ni kumwekam2 atakayelinda mfumo wa kifisadi, wanataka m2 subjective sio objective kama Magufuli.
True that when it comes to Roman Israel Esq 🙂
In full name Roman J Israel Esquire.
BTW, gifted with a phenomenal memory as well as strong personal convictions on the meaning of justice!
Ok, same here! Obviously!🙂Kabisa! Saw the movie!
undefinednamba nazisoma vizuri sana kwakweli
Alikuwa sahihi, ni sawa kabisa na yule MAGAMBA MATATU. Tofauti ni kwamba yule aliweka jina lake kwenye listi.Ulikuwa sahihi.
HayaHuyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
itabiri na sasa yanatokea watu wanafyekelewa mbaliWatu wana maneno lol
We jamaa ulikuwa unamjua Magufuli ndani nje. Aseee ni kweli, tunashuhudia vituko sasaHuyo jamaa ni mpenda sifa ,fisadi , na mtu wa visasi sana. Akipitishwa itakuwa ni N'goa Janga wekw Janga.
Unabii wako umetimia mkuuno thanks.... huna busara ktk maamuz na jazba zisizo na msingi!!!! nadhan FFU watafanya kazi sana huyu jamaa akiwa rais maana hana uvumilivu kabisa!!!
Teh teh tehHuyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
....
Alimshutumu hadharani aliyekuwa Katibu wa CCM wilaya ya Chato kabla ya kuhamishiwa wilayani Mbogwe, Gervas Stephano, kuwa hana shukrani.
Dk. Magufuli alimwelezea katibu huyo kuwa hana fadhila kutokana na mambo mengi aliyomtendea tangu akiwa katibu wa ofisi yake ya jimbo ambapo alimsaidia kupanda ngazi na kuwa Katibu wa CCM wilaya Chato, Kwimba, Kasulu, Kilosa na kurejea tena Chato kabla ya kuhamishiwa wilaya ya Mbogwe mkoani Geita kuendelea na wadhifa huo.
"Tatizo lenu watu wa Chato hamna shukrani, mambo mengi nimefanya hapa Chato, lakini yote mnaona ziro hata niliowasaidia kama Gervas naye sasa hivi ananiponda lakini nawashukuru sana wazee wangu kwa kunikumbusha niliyoyafanya kwenye jimbo letu kupitia risala yenu nzuri," alisema Dk. Magufuli.
....