John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

hafai kuwa hata mwenyekiti wa kijiji nimbovu jimbo lake tu limemshinda hakuna maendeleo hata maji ambayo yako hapa ziwani yamemshinda kupelekea wananchi leo anataka urais kwa kuwaita watu nakuwambia wampendekeze, shme on you dictator MAGUFULI.
Looh!!
 
Aisee, aliutamani na kuupata. Ngoja na Mimi niwe na matamanio ya Urais wa nchi hii.
 
Hana Nguvu za kisiasa ndani ya CCM na wala hana sifa zozote kuwapita wenzake ndani ya CCM kama Lowassa, Membe, Sitta, Mwakyembe, Mwandosya, Wassira, Mwigulu, Nchimbi.
Ila sifa moja ya kiCCM ya msingi anayo, ambayo ni Ufisadi. Magufuli ni Fisadi mzuri sana.
Lakini pia ni mnafiki mkubwa, kwani ni juzi tu alimkana Sitta na kudai hana mpango wa Urais kabisa!!
Watu na maono yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda mgombea binafsi, ccmpolc inawenyewe, lkn Magufuli mnamjua vizuri au ni ushabiki usio na maana, watanzania ndo maana huwatunajuta baada ya kumchagua mtu imepita kama miaka 2 coz huwa hatuna utamaduni wakufanya critical analysis kwa wanaotangaza nia bali tunatawaliwa na ushabiki! Kwann tusiige kutoka hata mataifa mengine? We poor Tanzanians why this?
Critical tinker.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom