Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,158
- 127,139
eti kijana,ana ujana gani?hafai kuwa Raisi
Tunakuaangalia tu ulivyokuwa unakashifu
eti kijana,ana ujana gani?hafai kuwa Raisi
Hili jizi hili linataka urais au urais wa bendi?
Yaani its true hakuwa kabisa chaguo langu. Ila kwa vile ameshakuwa Rais no need of going back. Life goes on.Tunakuaangalia tu ulivyokuwa unakashifu
Leo umeamua kutuletea tb.Duuu!
Yaani its true hakuwa kabisa chaguo langu. Ila kwa vile ameshakuwa Rais no need of going back. Life goes on.
😂😂😂😂Hii ni jinsi gani mlikuwa mnakashifu viongozi siku za nyuma. Jiwe weka huyu dada ndani alisema we ni mzee hufai kua rais.
This comment speaks volumes to dateTo be realistic, huyu anakurupuka katika maamuzi! Anakuwa driven na hisia na si reasoning! Dikteita mkubwa hafai! Anatoa maamuzi kwenye jukwaa watu wamsikie. Sawa na Mrema enzi zake. Kweli nchi hii na vichaa wa siasa!
Magufuli yafaa awe chini ya mtu. Labda awe PM. Kumpa urais sio rahisi. Ana dalali zote za kuwa haambiliki. Lazima kuwe na nguvu iliyo juu yake kumrudisha kwenye mstari mara kwa mara.
[emoji3][emoji3]hata wewe!!!eti kijana,ana ujana gani?hafai kuwa Raisi
Yap. Sikupenda awe Rais. Ila alishakuwa. Hata leo kuna vitu namkubali,vingine simkubali.[emoji3][emoji3]hata wewe!!!
Hiyo mlonikoti ipo pg number ngapi ? Walau nikaangalie tarehe.[emoji3][emoji3]hata wewe!!!
Dalili ya mvua ni mawingu Kamanda.kama uliona mbali vile mzee duuh
Balance? Unankubali au humkubali. Mzani umeegemea wapi?Yap. Sikupenda awe Rais. Ila alishakuwa. Hata leo kuna vitu namkubali,vingine simkubali.
Huyu atakuwa dhaifu kuliko JK! Mambo mengi ya kitaifa ananyamazia hatujui msimamo wake...kwanza toka lini injinia akawa raisi! Akajenge madaraja huko!
Inategemea. Namkubali anavyoshughulikia mafisadi,ila namshangaa kwa nini anakuwa bias. Fisadi walio karibu na yeye hatumbui. Namkubali anavyojenga nchi. Ila simkubali anavyosahau maendeleo ya jamii. Alitakiwa abalance. Simkubali anavyofokea watendaji mbele ya camera. Mzani unategemea na utendaji wake.Balance? Unankubali au humkubali. Mzani umeegemea wapi?
CCM hawawezi kumteua huyu apeperushe bendera ya urais maana atawafunga wote waliofanya ubadhilifu. Wanachofanya ni kumwekam2 atakayelinda mfumo wa kifisadi, wanataka m2 subjective sio objective kama Magufuli.
eti kijana,ana ujana gani?hafai kuwa Raisi
Usifananishe Ccm na Vikundi vyenu vya Kisiasa
JPM amekuwa Rais na hakuna Kiongozi kafungwa
In reality kafeli jumla. Unesema vyema mafisadi waliokaribu naye hatumbui. Maana yake kwa ufupi naye ni walewale.Inategemea. Namkubali anavyoshughulikia mafisadi,ila namshangaa kwa nini anakuwa bias. Fisadi walio karibu na yeye hatumbui. Namkubali anavyojenga nchi. Ila simkubali anavyosahau maendeleo ya jamii. Alitakiwa abalance. Simkubali anavyofokea watendaji mbele ya camera. Mzani unategemea na utendaji wake.
Lakini nilisema hafai kuwa Rais,si unaona mnavyolalamika ? Nilikuwa na reasons.Tarehe hii hapa uliyosema jamaa ni mzee, sasa kawa kijana niandae.