John Magufuli: Ninautamani urais!

John Magufuli: Ninautamani urais!

Magufuli ni jembe,CCM wakimteua huyu watapata kazi rahisi sana kwenye uchaguzi wa 2015..

Kwa uwezo wa utendaji kazi,hakuna mwanasiasa yeyote hapa nchini anayemzidi Magufuli kwenye hilo, akiteuliwa huyu kura yangu anayo...
Kweli uliona mbali.
Kampeni haikuwasumbua.
Ila kama ccm wangempitisha Membe au Lowassa 2015 mambo yangewawia magumi sana.
 
Hana Nguvu za kisiasa ndani ya CCM na wala hana sifa zozote kuwapita wenzake ndani ya CCM kama Lowassa, Membe, Sitta, Mwakyembe, Mwandosya, Wassira, Mwigulu, Nchimbi.
Ila sifa moja ya kiCCM ya msingi anayo, ambayo ni Ufisadi. Magufuli ni Fisadi mzuri sana.
Lakini pia ni mnafiki mkubwa, kwani ni juzi tu alimkana Sitta na kudai hana mpango wa Urais kabisa!!
Ha ha ha JF ina raha zake.
Ila jamaa ndio rais wetu kwa sasa.
Una maoni gani?
 
CCM hawawezi kumteua huyu apeperushe bendera ya urais maana atawafunga wote waliofanya ubadhilifu. Wanachofanya ni kumwekam2 atakayelinda mfumo wa kifisadi, wanataka m2 subjective sio objective kama Magufuli.
Hapa ulipiga nje.
Kama ni mtinani hii ni 0.00%
 
...kupitia chama gani? jamani mtamfanya mamvi apate heart attack bure!
Ha ha ha jamaa ndio alifanya mzee wa watu apotee kwenye reli.
Alikatwa akaenda chadema akaliwa tena.
.
 
Kweli uliona mbali.
Kampeni haikuwasumbua.
Ila kama ccm wangempitisha Membe au Lowassa 2015 mambo yangewawia magumi sana.
Mkuu utakuwa hujui unachoongea, pengine ni kutokana na mahaba yako kwa jiwe!

Kwani toka lini kampeni ikawsumbuwa ccm? Kitu kinachowasumbuwa ni wapiga kura. Nyie mnategemea tume ya uchaguzi ipitishe, period!

Kama unaandika kwa moyo mmoja kabisa, basi tuna tatizo kubwa sana watanzania. Sanasana upstairs.
 
Magufuli (na wengine wachache CCM) anaweza kua Rais mzuri pale tu atakapopitishwa kwa kura za wanaCCM wengi bila ya kushikwa mkono na kakikundi cha watu fulani fulani au kupata huruma ya M/kiti...hapo atakua na "wide mandate" ya "kufanya" yale ambayo Magufuli tumezoea anafanya...otherwise Marais wote wa CCM watategemea a combination ya Dhaifu pamoja na kikundi fulani kitakachomfanya Rais ajaye wa CCM awe dhaifu mwingine (labda atokee kichaa atakayepiga sarakasi na kuwageuka wote waliomuweka kwenye kiti)....
Enhee eti nini?
 
Mkuu utakuwa hujui unachoongea, pengine ni kutokana na mahaba yako kwa jiwe!

Kwani toka lini kampeni ikawsumbuwa ccm? Kitu kinachowasumbuwa ni wapiga kura. Nyie mnategemea tume ya uchaguzi ipitishe, period!

Kama unaandika kwa moyo mmoja kabisa, basi tuna tatizo kubwa sana watanzania. Sanasana upstairs.
Tunaangalia usahihi wa watu waliokuwa na "jicho la tatu" kabla ya uchaguzi wa 2015.
Ni wazi wewe jicho hilo huna.
Wasifie wenzio waliokuwa nalo na ambao waliona mbali.
Usiwe na mtima nyongo.
 
Tunaangalia usahihi wa watu waliokuwa na "jicho la tatu" kabla ya uchaguzi wa 2015.
Ni wazi wewe jicho hilo huna.
Wasifie wenzio waliokuwa nalo na ambao waliona mbali.
Usiwe na mtima nyongo.
Eti jicho la tatu!Labda jicho la makalioni. What a stupid statement from who knows who?

Walioona udikteta hawakuwa na jicho la tatu?

Walioona ubinafsi, umimi na visasi hawakuwa na jicho la tatu?

Siyo kwamba nawasifia, nawalaumu wale waliodharau maneno yao hao ambao wanaoekana walikuwa wakimfahamu fika.

Mtima nyongo wa nini? Here is facts only, and I ain't gonna shy away from it!
 
Ndugu Mzizi na wote waliokupa likes bado mnadhani huyu bwana ni dhaifu kuliko JK au ametukazia vyuma hadi tumeisoma namba?
Hajakaza vyuma hakuna kitu kama hicho kwenye economics. Alichofanya ni kuvuruga uchumi kwa maamuzi ya hovyo hovyo. Sekta muhimu kwenye uchumi kama biashara, kilimo, uchimbaji madini, mabenki na uwekezaji kwa ujumla zimeathirika, hili limesababisha domino effect kwenye ajira na purchasing power ya raia kawaida. Hizo habari za kukaza vyuma sijui kuinyoosha nchi ni hadithi za kipuuzi na za kishamba tu.
 
Back
Top Bottom