Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,591
Kumbe limezoea kutoa RUSHWA hadharani tangu zamani!"Kutokana na hali hiyo ninawazawadia Sh. 1,000,000 mfanye sherehe ya kujipongeza kwa kuwa natambua mmejitesa sana mpaka kufanikisha kikao hiki cha leo&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];na kwa kuwa hamna mradi wowote wa kuwaingizia kipato kama wazee, ninaahidi kuwapa Sh. 3,000,000 kutoka mfuko wa jimbo, ili muanzishe walau saccos ya kukopeshana," alisema.