. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya.💪🏿🔥Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya.
Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'. Short and clear. By - John Heche, akizungumza na wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza leo Jumatano Julai 29, 2026.
Asante kwa kuwakumbusha.4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
ukshazikwa uchungu unabaki wa mjane na wanae.Ngoja tuone
Na kweli kufa ni mara moja tu
Exactlyukshazikwa uchungu unabaki wa mjane na wanae.
eloh ..
Jizi na lipenda rushwa linachangiaukshazikwa uchungu unabaki wa mjane na wanae.
eloh ..
Km haogopi mbona kipindi cha Magu aliikimbia nchi na Samia ndiyo amemrudisha? Adanganye nyumbu wenzake na ashukuru uungwana na upole wa Samia. Na avuke mstari mwekundu km anaona anaogopwa! Unaweza kupigwa shaba hadharani na maisha yakaendelea, aache kushindana na dola, wako wapi kina Mdude na Polepole? Kwani maisha yamesimama? Ye ni nyau mdogo atulize makalio hayo ya kikurya, kwanza siyo mtanzania ni mkenya! Ingekuwa enzi za wababe ama angeshakimbia km kipindi cha Magu ama angefukuzwa nchiniNina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya.
Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'. Short and clear. By - John Heche, akizungumza na wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza leo Jumatano Julai 29, 2026.
View attachment 3639471
We ni poyoyo tu watanzania wanakujua. Hv unajua ni Samia ndiyo kamrudisha nchini? Huyo bwege lako alishakimbia nchi kipindi cha mwamba John Pombe Joseph Magufuli.Heche siyo Polepole wakae wakijua
Kwa hiyo wakisha muua itasaidia nini sasa,na huyo Heche kawazuia nini kufanya hicho wanachokitaka,haya alifanya Idd Amini dada kwa hiyo Samia hatakuwa wa kwanzaKm haogopi mbona kipindi cha Magu aliikimbia nchi na Samia ndiyo amemrudisha? Adanganye nyumbu wenzake na ashukuru uungwana na upole wa Samia. Na avuke mstari mwekundu km anaona anaogopwa! Unaweza kupigwa shaba hadharani na maisha yakaendelea, aache kushindana na dola, wako wapi kina Mdude na Polepole? Kwani maisha yamesimama? Ye ni nyau mdogo atulize makalio hayo ya kikurya, kwanza siyo mtanzania ni mkenya! Ingekuwa enzi za wababe ama angeshakimbia km kipindi cha Magu ama angefukuzwa nchini
Shut Up!We ni poyoyo tu watanzania wanakujua. Hv unajua ni Samia ndiyo kamrudisha nchini? Huyo bwege lako alishakimbia nchi kipindi cha mwamba John Pombe Joseph Magufuli.
Km haogopi mbona kipindi cha Magu aliikimbia nchi na Samia ndiyo amemrudisha? Adanganye nyumbu wenzake na ashukuru uungwana na upole wa Samia. Na avuke mstari mwekundu km anaona anaogopwa! Unaweza kupigwa shaba hadharani na maisha yakaendelea, aache kushindana na dola, wako wapi kina Mdude na Polepole? Kwani maisha yamesimama? Ye ni nyau mdogo atulize makalio hayo ya kikurya, kwanza siyo mtanzania ni mkenya! Ingekuwa enzi za wababe ama angeshakimbia km kipindi cha Magu ama angefukuzwa nchini
Kwamba watakaomuua wao hawatakufa? wajane na watoto wao hawatapata uchungu? Wasipomuua Heche hatakufa, na ataishi milele?ukshazikwa uchungu unabaki wa mjane na wanae.
eloh ..
pamba tu hiyo
tena nyepesi