John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

Mkurya ukimgusa umegusa kitunda nzima

Wamasaai na wakurya ndo watu pekee ambao hawajali sheria inasema nini likija suala la kudai haki yao! Hata Ikulu inaweza chomwa hawana mchezo wale !! Uliona ya Loliondo?

Achana na watu ambao wako united
umesema kweli bro. Mkuria ni mtu unamripoti kituoni kuwa kakutishia anahakikisha akupige au hata akukate ndo afanye kesi ya ukweli yaan ya after action sio maneno.
 
amewindwa ni muda mrefu sasa. Pamoja na kujilinda Mungu Yuko pamoja naye! wenye haki wote na hao wenye kuzisimamia haki watalindwa na nguvu za Mungu.

MUNGU WA KWELI YUKO UPANDE WA WATETEA HAKI.

maccm yanafadhiliwa na masheitwani. shetani ni adui aliyeshindwa tayari
Mungu wa kweli ni yupi mbona tarehe 29 hakuzuia mauaji?
 
Akili zao zishastuck wanafikiria kunywa damu tu, hamna mkakati mwingine wowote wa maana, waliona kete ya kuwatoa ni kwenda kumpapasa putin, wanashangaa dunia imewaignore, walitrend siku 2 tu wakarudi kwenye modus operandi yao na mastamind wao wa jalalani
 
Ila Heche naye huwa hakamatwi sana pamoja na kutema sumu lakini jamaa huwa hapatagi hekaheka au naye nikitengo nini? Pia huwa haogopi kipindi kile wengi walikimbia nje ya nchi ila yeye alibaki
Kuna namna chadema imekaa kinamna ya kitengo

Kumpokea Lowassa kugombea, Mbowe (Kama Mwana wa JK Nyerere)
Heche kutokamatwa
Chadema kutofungua mashtaka dhidi ya serikali/CCM kwa mauaji, kupotea kwa makada wao.
Chadema ku exist kwa namna y kuwepo tu, ni kama hawako serious na kuchukua nchi
Wanachadema kuhamia CHAUMA
 
amewindwa ni muda mrefu sasa. Pamoja na kujilinda Mungu Yuko pamoja naye! wenye haki wote na hao wenye kuzisimamia haki watalindwa na nguvu za Mungu.

MUNGU WA KWELI YUKO UPANDE WA WATETEA HAKI.

maccm yanafadhiliwa na masheitwani. shetani ni adui aliyeshindwa tayari
Hakuna Mungu kwenye kifo mkuu
 
Wanaogopa maandamano siyo. Wale watu ni masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa.
Pia Britanicca ulimuonya sana polepole, you are a reliable source.

Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!

Naomba usipuuze hii!

Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay

Britanicca
Tatizo kuna baadhi ya watu walio kwenye mamlaka bado wanafikiri CHADEMA ndo mpinzani kumbe kwa sasa upinzani uko wa mtu mmoja mmoja,hata CHADEMA ikifutwa bado upinzani utakuweo
 
Alijaribu kukimbia akakamatwa mpakani akawekwa ndani hadi ilipoisha vurugu ya 29/10.
Kuwazuia Lissu na Heche siyo suluhisho.
Waliwazuia few individuals kama hao wakaacha wengi uraiani ambao waliendeleza harakati wakaandamana.

Humphrey Polepole was abducted too.

Wanazima moto bila kumtafuta mtoto anaye cheza na kiberiti porini.

Don't look for the fire, but look for the boy who is playing with the matches around the bush.
Za ndani ni kwamba Heche aliwekwa ndani ili msala wa 29/oct usimwangukie, kama Heche asingekuwa ndani leo maccm wangemwangushia mzigo wa 29/oct. jamaa ni kitengo na kwasasa chadema kipo mikononi mwa kitengo chadema kipindi kile ilifungiwa na viongozi wake kuwekwa ndani ili waepushwe na balaa la 29/oct.
 
Ila Heche naye huwa hakamatwi sana pamoja na kutema sumu lakini jamaa huwa hapatagi hekaheka au naye nikitengo nini? Pia huwa haogopi kipindi kile wengi walikimbia nje ya nchi ila yeye alibaki
Kuna namna yes,mimi na wewe hatuwezi kuanika mambo negative ya sirikali tukabaki uraiani.
Hata kukamatwa kwa Lissu bado hainiingii akili why meanasheria wa standard zake alitokwa na maneno chonganishi tena kwenye mkutano.
Maneno yale yale kayatamka Heche majuzi "tutakinukisha kweli kweli" wapinzani wengi wenye majina 90%+ wanatengenezwa!
 
Za ndani ni kwamba Heche aliwekwa ndani ili msala wa 29/oct usimwangukie, kama Heche asingekuwa ndani leo maccm wangemwangushia mzigo wa 29/oct. jamaa ni kitengo na kwasasa chadema kipo mikononi mwa kitengo chadema kipindi kile ilifungiwa na viongozi wake kuwekwa ndani ili waepushwe na balaa la 29/oct.
Kwa hiyo Lissu sio kitengo?
Au kitengo wenzake wamemtelekeza 😂
Labda ungesema walinaswa ikiaminika wangeweza kushawishi watu kuandamana.
 
Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!

Naomba usipuuze hii!

Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay

Britanicca
Hopefully ujumbe umemfikia na kama una namna nyingine ya kumfikishia ujumbe zaidi please do so.
 
amewindwa ni muda mrefu sasa. Pamoja na kujilinda Mungu Yuko pamoja naye! wenye haki wote na hao wenye kuzisimamia haki watalindwa na nguvu za Mungu.

MUNGU WA KWELI YUKO UPANDE WA WATETEA HAKI.

maccm yanafadhiliwa na masheitwani. shetani ni adui aliyeshindwa tayari
Nakumbuka Polepole alipewa warning ⚠️ hivihivi lakini akawaamini waliokuja kumuuza.
 
Za ndani ni kwamba Heche aliwekwa ndani ili msala wa 29/oct usimwangukie, kama Heche asingekuwa ndani leo maccm wangemwangushia mzigo wa 29/oct. jamaa ni kitengo na kwasasa chadema kipo mikononi mwa kitengo chadema kipindi kile ilifungiwa na viongozi wake kuwekwa ndani ili waepushwe na balaa la 29/oct.
Sawa sasa kama ni kitengo, anamtumikia nani?, na kwanini awekwe ndani kuepushwa ccm kumwangushia mzigo wakati wanajuana , au mim ndio sijaelewa?
 
Back
Top Bottom