John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

Msingi wa hoja yangu kuwaeleza wahusika kutafuta chanzo halisi Cha tatizo.
Chanzo siyo Heche, Lissu au CHADEMA bali matendo ya viongozi wenye dhamana ya kuendesha nchi kwenye muelekeo sahihi.
Mimi sikutaja chochote ulichokiandika wewe hapo sasa hivi, niliizungumzia scenario ya kushughulika na aliyemuamuru/aliyemuagiza/kumtuma/kumshurutisha mtoto mdogo achezee kiberiti na achome nyumba na mazingira yake kwa ujumla… wewe ukishagundua hilo baada ya kutokea utashughulika na nani? 😊
 
Hii hoja ya mtoto kutumwa ni hoja ya wanaojaribu kuukwepa ukweli wa chanzo cha vurugu.
Wanasingizia watu wamelipwa.
Basi tuseme kweli wametumwa wamelipwa.
Wenye dhamana wakitenda haki, wakiwa waadilifu nani atapenda kwenda kuchoma moto na kuuwawa au kufungwa sababu ya pesa ndogo tu?
 
Wewe ulifanikiwa kuiona ile aina ya vijana waliokuwa wanaanzisha vurugu na kuitekeleza mnamo tarehe “29, oktoba” ?!… kijana timamu huwezi kumkuta mule ambaye ana cha/vya kupoteza maishani.
 
Jiulize madai ya hao vijana yalikuwa sahihi au halali?
Madai yao ndiyo chanzo cha tatizo, hayo matatizo ndiyo mtoto anaye chezea kiberiti. Anaye zembea au sababisha hayo matatizo ndiyo mwenye mtoto mchezea kiberiti.
 
Back
Top Bottom