John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

Ndani kuna mgawanyiko mkubwa ccm imechokwa ww unafikiri popolepole alikuwa mwenyewe? Mbowe aliondolewa vile yule ni mamluki ni mtu wa bei akaondolewa, Lisu akachukua usukani hamjiulizi ilikuwaje Lisu ghafla aligeuka kuutaka uenyekiti Lisu angekuwa mwenyewe asingeweza kumshinda Mbowe.
Nguvu iliyotumika ili Lissu asishinde ilinishangaza Sana, mpaka Slaa akafungwa miezi mitatu
 
Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!

Naomba usipuuze hii!

Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay

Britanicca
Ngoja nimtag Kamanda john Heche chukua hatua madhubuti. Hata comrade PolePole naye tulimtahadharisha, akapuuza! Matokeo yake mpaka leo hajulikani alipo.
 
amewindwa ni muda mrefu sasa. Pamoja na kujilinda Mungu Yuko pamoja naye! wenye haki wote na hao wenye kuzisimamia haki watalindwa na nguvu za Mungu.

MUNGU WA KWELI YUKO UPANDE WA WATETEA HAKI.

maccm yanafadhiliwa na masheitwani. shetani ni adui aliyeshindwa tayari
Kumbuka hata Polepole alipewa tahadhari, so Mh Heche asipuuze
 
Mkurya ukimgusa umegusa kitunda nzima

Wamasaai na wakurya ndo watu pekee ambao hawajali sheria inasema nini likija suala la kudai haki yao! Hata Ikulu inaweza chomwa hawana mchezo wale !! Uliona ya Loliondo?

Achana na watu ambao wako united
Kwahiyo unataka kumaanisha nini ndugu britanicca?!

Wakurya wataungana kupigana vita na serikali na wataishinda?! Au wakurya wana nguvu kuizidi serikali?! 😀😀😀😅😅🙌🏾
 
Alijaribu kukimbia akakamatwa mpakani akawekwa ndani hadi ilipoisha vurugu ya 29/10.
Kuwazuia Lissu na Heche siyo suluhisho.
Waliwazuia few individuals kama hao wakaacha wengi uraiani ambao waliendeleza harakati wakaandamana.

Humphrey Polepole was abducted too.

Wanazima moto bila kumtafuta mtoto anaye cheza na kiberiti porini.

Don't look for the fire, but look for the boy who is playing with the matches around the bush.
ni vyema pia kushughulika na jitu zima hovyo lililoamua kumfundisha mtoto achezee kiberiti na kumuamrisha achome nyumba na mazingira yake na wakati linajua wazi madhara yake yatakuwaje 😊
 
ni vyema pia kushughulika na jitu zima hovyo lililoamua kumfundisha mtoto achezee kiberiti na kumuamrisha achome nyumba na mazingira yake na wakati linajua wazi madhara yake yatakuwaje 😊
Msingi wa hoja yangu kuwaeleza wahusika kutafuta chanzo halisi Cha tatizo.
Chanzo siyo Heche, Lissu au CHADEMA bali matendo ya viongozi wenye dhamana ya kuendesha nchi kwenye muelekeo sahihi.
 
Back
Top Bottom