John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

Sawa sasa kama ni kitengo, anamtumikia nani?, na kwanini awekwe ndani kuepushwa ccm kumwangushia mzigo wakati wanajuana , au mim ndio sijaelewa?
Ndani kuna mgawanyiko mkubwa ccm imechokwa ww unafikiri popolepole alikuwa mwenyewe? Mbowe aliondolewa vile yule ni mamluki ni mtu wa bei akaondolewa, Lisu akachukua usukani hamjiulizi ilikuwaje Lisu ghafla aligeuka kuutaka uenyekiti Lisu angekuwa mwenyewe asingeweza kumshinda Mbowe.
 
Za ndani ni kwamba Heche aliwekwa ndani ili msala wa 29/oct usimwangukie, kama Heche asingekuwa ndani leo maccm wangemwangushia mzigo wa 29/oct. jamaa ni kitengo na kwasasa chadema kipo mikononi mwa kitengo chadema kipindi kile ilifungiwa na viongozi wake kuwekwa ndani ili waepushwe na balaa la 29/oct.
Hili hata Mimi mwenye akili mbili nililinusa
 
Wanataka kumzuia mahabusu wakiamini akiwa uraiani waandamanaji watajitokeza kwa wingi hiyo7/7.
Heche popote ulipo wahamasishe wapenda haki popote walipo wawe kwenye maandamano ya amani bila kujali uwepo wako na kama kweli wakikuzuia mahabusu basi kudai #free Heche# iwe sehemu ya hoja.
 
amewindwa ni muda mrefu sasa. Pamoja na kujilinda Mungu Yuko pamoja naye! wenye haki wote na hao wenye kuzisimamia haki watalindwa na nguvu za Mungu.

MUNGU WA KWELI YUKO UPANDE WA WATETEA HAKI.

maccm yanafadhiliwa na masheitwani. shetani ni adui aliyeshindwa tayari
Usidhaarau ngu
Heche ana kadi kabisa ya ccm ni Mjumbe wetu yule!!
Hahaha
 
Back
Top Bottom