John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

John Heche nakuomba sana jilinde popote ulipo

mimi
Kuna namna chadema imekaa kinamna ya kitengo

Kumpokea Lowassa kugombea, Mbowe (Kama Mwana wa JK Nyerere)
Heche kutokamatwa
Chadema kutofungua mashtaka dhidi ya serikali/CCM kwa mauaji, kupotea kwa makada wao.
Chadema ku exist kwa namna y kuwepo tu, ni kama hawako serious na kuchukua nchi
Wanachadema kuhamia CHAUMA
njoo ofisi Central tuyajenge, inaonekana una uelewa wa kipekee sana.
 
Walimkamata Tundu Lisu wakadhani chama kitayumba ... nondo anazozitoa huyu Heche na kuzidi kukistawisha chama ukizingatia CHADEMA walizuiliwa kufanya mikutano ila bado wanasonga .hii ndiyo hofu inayowatisha ..... na mimi nashauri Mhe Heche pia punguza interviews za media . Sasahivi Radio , TV nyingi ni chawa wa CCM . Wasije wakakudhuru .... maana niliona mwandishi mmoja anauliza ili ajue ratiba nzima ya Heche kuanzia asubuhi adi jioni
 
Za ndani ni kwamba Heche aliwekwa ndani ili msala wa 29/oct usimwangukie, kama Heche asingekuwa ndani leo maccm wangemwangushia mzigo wa 29/oct. jamaa ni kitengo na kwasasa chadema kipo mikononi mwa kitengo chadema kipindi kile ilifungiwa na viongozi wake kuwekwa ndani ili waepushwe na balaa la 29/oct.
Hatununui propaganda ya bei rahisi kiasi hiki.
Na Lissu naye mlimkwepesha msala au siyo?
 
Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!

Naomba usipuuze hii!

Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote atakayekuita week hii Oysterbay

Britanicca
Hakuna kitu kama hiyo!...
He should be free,#labda achunge mdomo wake!
 
Back
Top Bottom