John Heche moments special thread

John Heche moments special thread

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema chama hicho kina sababu ya kushangilia kauli ya Paul Chacha kuhusu vyombo vya dola, akidai kuwa kauli hiyo imethibitisha madai ambayo CHADEMA imekuwa ikiyatoa kuhusu vyombo hivyo.

Heche ameyasema hayo leo, Oktoba 1, 2026, akizungumza na wazee wa CHADEMA katika maadhimisho ya Siku ya Wazee yaliyofanyika Tarime mjini, mkoani Mara.

Akizungumzia kauli ya Chacha, Heche amesema: “Mimi nafikiri hatuna sababu ya kusikitishwa na alichokisema Chacha, tunayo sababu ya kushangilia hiyo kauli kwa sababu moja. Kuna wale matomaso ambao muda wote tumesema kwamba vyombo vyote vya dola vya nchi hii si vyombo vya dola vya kwetu Watanzania, ni vyombo vya dola vya kagenge kadogo kanakojiita CCM. CCM wenyewe waliomo mle ni mateka.”

Heche amesema kauli hiyo inapaswa kuangaliwa katika muktadha wa madai ya CHADEMA kuhusu uhusiano kati ya vyombo vya dola na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kauli hiyo ameitoa wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika Tarime mjini, ambapo viongozi na wanachama wa CHADEMA wamekutana kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wazee wa chama hicho.
 
1790888655112.jpg
 
Leo trh 3/10/2026 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe John Heche ameongozana na Naibu katibu mkuu Bara Aman Golugwa,Mkiti wa Bazecha Taifa Suzan Lyimo na Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti Ndugu Lucas Ngoto kuhudhuria Msiba wa Kijana wa Askofu John Mwita wa kanisa la FPCT Sirari ,Msiba huo Umefanyika Kata ya Pemba Kijiji cha Nyabisaga Jimbo Tarime Vijijini
1791064335085.jpg
1791064329017.jpg
 
Kituo kinachofuata ni Serengeti na huu ni ukaribisho wa John Heche hapo kesho.
1791067412083.jpg
 
Back
Top Bottom