Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche Tarime, Mkoa wa Mara. Akiwa ni mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara unaofanyika katika uwanja wa Shamba la Bibi.
VIDEO: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche Tarime, Mkoa wa Mara. Akiwa ni mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara unaofanyika katika uwanja wa...
#VIDEO Majibizano yanayoendelea ambapo Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara @HecheJohn alitaka kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, Heche leo tarehe 25 Machi 2025 alikuwa na ratiba...
Wazee wa Tarime Mjini wamefika nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche , mjini Tarime na kumkabidhi zawadi ya mkungu wa ndizi pamoja na mbuzi mmoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.