Tarime: John Heche asoma Mkataba wa Bandari Hadharani. Wananchi Wabubujikwa na Machozi , Mkutano wageuka Msiba

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
123,081
232,778
Katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo huko Sirari, Tarime, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema John Heche , pamoja na kusisitiza kuhusu Umuhimu wa Katiba mpya, Amewasomea wananchi waliohudhuria Mkutano huo Mkataba wa milele wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD .

Baada ya kuelewa Mkataba huo ulivyo, Mkutano huo ulibadilika na kuwa kilio kikuu, huku watu wakimwaga machozi mithili ya waliopata msiba wa watu wao muhimu katika maisha.

Hali ilikuwa hivi.

Screenshot_2023-08-11-18-39-29-1.jpg
Screenshot_2023-08-11-18-39-34-1.jpg
Screenshot_2023-08-11-18-39-38-1.jpg
Screenshot_2023-08-11-18-39-42-1.jpg
 
Back
Top Bottom