John Heche: CHADEMA ina wanachama milioni nane

Hongereni sana CHADEMA. Number lazima iongezeke zaidi kuwin more people's influence
 
Polepole anaulizwa mikutano ya siasa imezuiwa kwa sheria ipi anasema nchi haiongozwi kwa katiba na sheria tu bali pamoja na matamko, amri na utamaduni!
Nimemsikiliza kwa makini sana maana anatema madini tupu.

Mimi ni mpenzi wa The Big Agenda ila kwa ijumaa sijakitazama kwakuwa alikuwa polepole hakuna cha maana angekisema zaidi ya tantalila na mipasho mtu mwenye ndimi mbili(popo) haaminiki.
 
Nani kamwambia ccm inachaguliwa ccm inatangazwa! nani mwenye akili timamu anachagua ccm
 
Polepole anaulizwa mikutano ya siasa imezuiwa kwa sheria ipi anasema nchi haiongozwi kwa katiba na sheria tu bali pamoja na matamko, amri na utamaduni!
Polepole ni futuhi!
 
Heche nae ni propagandist, Chadema wameamua kutumia uongo ili kujiweka kwenye mstari..
Uongo sana tu huo, aweke evidence hapa
 
Ndio chazo cha kuteka, kutesa nakuua..
Kuiba chaguzi na kijitatangaza bila kupigiwa kura.

CCM = Chama maiti
Mtekwe na nani nyie na nani awaibie kura chadema imekosa sera na mvuto kwa wananchi mmebakia kutafuta huruma za wananchi na mataifa ya mabeberu hizi za kutekwa, kuibiwa kura, kuuawa ni propaganda za chadema baada ya kushindwa uchaguzi
 
Billioni 4 kwa mwezi ni fedha nyingi sana wajenge ofisi ya makao makuu sasa kama kweli.


lakini je; wanachama watalipia hiyo ada ya uanachama?
 
Sema watanzania siasa kwao ni.kitu chanyongeza tu wengi wanapenda umbeya kuliko chochote angalia siku zicheze simba na yanga nchi inavyosimama kwa mjadara wa mabishano ila watu wakileta habari za katiba awakuelewi aliyeturoga halitupatia kweli kweli.
Unaweza kudhani watanzania wana matatizo, kumbe wewe ndio mwenye matatizo.

Kuwa brainwashed kubaya sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…